Tom Mathinji
Kindiki: Serikali haitabagua jamii yoyote katika vita dhidi ya uhalifu
Maeneo yaliyotajwa na serikali kuwa hatari katika kaunti za North Rift, yatasalia kuwa hivyo huku oparesheni ya maliza uhalifu ikiendelea.
Waziri wa usalama wa kitaifa...
Marekani yatambua juhudi za Kenya za kuleta amani upembe wa Afrika
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Antony Blinken, amepongeza mchango wa Kenya wa kuleta amani na udhabiti katika upenbe wa Afrika na ulimwengu...
Polisi wanamtafuta mwanamke anayeshukiwa kumuua Dkt. Erick Maigo
Maafisa wa polisi wa kukabiliana na uhalifu wa jinai DCI, wanamtafuta mwanamke wanayemshuku alihusika katika mauaji ya kinyama ya daktari Erick Maigo, aliyekuwa kaimu...
Ushirikiano kati ya walinzi wa kibinafsi na asasi za usalama wasifiwa
Ushirikiano kati ya asasi za serikali za usalama na kampuni za walinzi wa kibinafsi, umechangia pakubwa katika kukabiliana na ugaidi pamoja na makundi mengine...
Wizara ya afya yachukua tahadhari dhidi ya mvua ya El Nino
Huku taifa hili likitarajia mvua ya El Nino, wizara ya afya imechukua hatua za tahadhari kwa kutambua maeneo ambako utoaji wa huduma za afya...
Kenya na China zashirikiana kukabilana na changamoto za kiusalama
Kenya inalenga kuimarisha ushirikiano wake na China hasa katika ubadilishanaji wa habari za ujasusi, operesheni za pamoja za kiusalama na usimamizi wa maswala ya...
Rais Ruto amealika Kazakhstan kuwekeza humu nchini
Rais William Ruto amealika Kazakhstan kuifanya Kenya na bandari ya Mombasa kuwa kitovu cha usafirishaji wa nafaka katika kanda hii.
Wakati wa mkutano na...
Serikali na mashirika ya kijamii kuelimisha umma kuhusu vitambulisho vipya
Serikali imeshirikiana na mashirika ya kijamii katika kuelimisha umma kuhusu vitambulisho vipya vya kidijitali vilivyopendekezwa.
Hii inafuatia mkutano ulioandaliwa Jijini Nairobi kati ya katibu katika...
Murkomen: Ukuaji wa sekta ya uchukuzi wa ndege ni muhimu kwa...
Waziri wa uchukuzi Kipchumba Murkomen, amesema ukuaji wa sekta ya uchukuzi wa ndege ni muhimu sana kwa serikali.
Waziri alitaja manufaa ya ukuaji huo kuwa...
Polisi wanasa pombe haramu kaunti ya Kiambu
Maafisa wa polisi katika kaunti ya Kiambu wamenasa pombe haramu katika eneo la Juja.
Pombe hiyo ya thamani ya zaidi ya shilingi milioni moja, ilinaswa...