Tom Mathinji
Polisi eneo la Gigiri wanasa mihadarati na pesa taslimu
Shehena ya bangi na shillingi milioni 13.4 pesa taslimu, zimepatikana kwenye operesheni ya kijasusi iliyoongozwa na maafisa wa upelelezi kutoka kitengo cha kukabiliana na...
Mshukiwa mkuu katika mauaji ya afisa wa DCI akamatwa
Maafisa wa polisi wamemtia nguvuni mshukiwa mkuu katika mauaji ya afisa wa idara ya upelelezi wa jinai, DCI David Mayaka, yaliyotekelezwa wiki iliyopita katika...
Maafisa wa polisi kutoa ulinzi katika viwanda vya kahawa
Serikali itawapeleka maafisa wa polisi katika viwanda vyote vya kahawa hapa nchini, kukabiliana na visa vinavyoongezeka vya wizi wa zao hilo, hayo ni kwa...
Polisi wanasa mizoga ya punda iliyokusudiwa kuuzwa Nairobi
Maafisa wa polisi wamepata mizoga ya punda katika kichaka kimoja kaunti ya Kiambu, iliyokuwa ikitayarishwa ili kuuzwa katika masoko ya humu nchini.
Mizoga hiyo ilipatikana...
Serikali ya kaunti ya Kiambu kujenga vituo 130 vya ECDE
Serikali ya kaunti ya Kiambu imeanzisha ujenzi wa vituo vya kisasa ya wanafunzi wa elimu ya chekechea, ECDE.
Hatua hiyo inalenga kuhakikisha mazingira bora ya...
Mahakama ya Juu kutoa mwelekeo kuhusu sheria ya fedha Agosti 28
Mahakama ya Juu tarehe 28 mwezi huu itatoa mwelekeo kwenye kesi iliyowasilishwa na Seneta wa kaunti ya Busia Okiya Omtatah ya kupinga agizo la...
Rais Ruto afanya mazungumzo na Rais Museveni
Rais William Ruto siku ya Jumapili alifanya mazungumzo na Rais wa Uganda Yoweri Museveni, katika ikulu ya Entebbe.
Viongozi hao wawili walijadiliana kuhusu maswala ya...
Rais Ruto: Uwekaji akiba utakomesha mikopo ya nje
Rais William Ruto amesema Serikali ina nia ya kuongeza akiba ya nchi hii.
Kiongozi wa taifa alisema hatua hiyo itaiondolea nchi haja ya kukopa kutoka...
Washukiwa watatu wa wizi wa kebo watiwa nguvuni Emali
Maafisa wa upelelezi wamewatia mbaroni washukiwa watatu na kunasa shehena ya Kebo za deta, zinazoaminika kuibwa katika eneo la Emali, Kaunti ya Makueni.
Wakati...
Raila aonya dhidi ya jaribio lolote la kunyamazisha upinzani
Kiongozi wa upinzani Raila Odinga amesisitiza kujitolea kwake kuhusu mazungumuzo kati ya serikali na upinzani, yatakahoandaliwa Jumatatu ijayo, lakini akaonya dhidi ya jaribio lolote...