Tom Mathinji
Aliyekuwa kiongozi wa Mungiki Maina Njenga akamatwa
Aliyekuwa kiongozi wa Mungiki Maina Njenga alikamatwa na maafisa wa polisi Jumatano usiku.
Kulingana na wakili wake Ndegwa Njiru, Njenga alikamatwa pamoja na kakake Njoroge...
Serikali yatangaza kufunguliwa kwa shule kaunti za Nairobi, Kisumu na Mombasa
Serikali imetanga kurejelewa kwa masomo katika shule zote za msingi na sekondari za kutwa katika kaunti za Nairobi, Mombasa na Kisumu.
Katika taarifa ya pamoja...
Rais Ruto: Upinzani hautavuruga ajenda ya Serikali kupitia maandamano
Serikali itawachukulia hatua kali wanaotumia vibaya Katiba na kusababisha machafuko hapa nchini.
Rais William Ruto amesema mpango huo utasitishwa. huku akibainisha kuwa Serikali ina...
Idara ya Magereza yawaachilia huru wafungwa 23,000
Idara ya magereza imewaachilia huru wafungwa 23,000 wa makosa madogo madogo, kwenye marekebisho yanayoendelea ya kupunguza idadi ya wafungwa.
Katibu katika idara hiyo Salome Muhia,...
Waziri Kindiki awaonya wanaochochea ghasia eneo la Sondu
Waziri wa usalama wa taifa Prof. Kithure Kindiki, amekashifu ghasia zilizoshuhudiwa katika eneo la Sondu kwenye mpaka wa kaunti za Kericho na Kisumu.
Kindiki...
Kituo cha utafiti wa Malaria chazinduliwa kaunti ya Kiambu
Kituo cha utafiti wa ugonjwa wa Malaria kimezinduliwa katika eneo la Thika, Kaunti ya Kiambu kwa lengo ya kufanikisha mikakati ya kukabiliana na ugonjwa...
Bei za Petroli na mafuta taa zapunguzwa
Bei za petroli ya supa na mafuta taa zimepunguzwa kwa senti 85 na shillingi 3.96 mtawalio.
Halmashauri ya kuthibiti bei za petroli EPRA inasema lita...
DCI kuchunguza madai ya ufisadi katika mpango wa karo wa Uasin...
Idara ya upelelezi wa maswala ya Jinai DCI, imeanzisha uchunguzi katika madai ya ufisadi kwenye mpango wa utoaji wa msaada wa karo katika serikali...
Jackie Maribe na Joseph Irungu kufahamu hatima yao tarehe sita Oktoba
Justice Grace Nzioka wa mahakama kuu, ana muda wa miezi miwili na nusu kutoa hukumu kuhusu kesi ya mauaji ya mwanabiashara Monica Kimani, aliyeuawa...
Viongozi wa Azimio wakashifu maafisa wa Polisi
Viongozi wa muungano wa Azimio-One Kenya wakiongozwa na Kalonzo Musyoka na Martha Karua, wamekashifu ukatili wa polisi dhidi ya wananchi ambao kulingana na viongozi...