Tom Mathinji
Meli kubwa zaidi duniani kutia nanga Mombasa
Sekta ya utalii humu nchini itafaidika pakubwa huku meli kubwa zaidi duniani ya maktaba MV Logos Hope, ikitarajiwa kutia nanga mjini Mombasa mwezi Agosti.
Meli...
Rais wa Iran Ebrahim Raisi awasili nchini Kenya
Rais wa Iran Ebrahim Raisi amewasili nchini Kenya. Kiongozi huyo wa Jamuhuri ya Iran alilakiwa na Waziri wa Mambo ya Nje Dkt. Alfred Mutua...
Viongozi 15 wa serikali kuhudhuria mikutano ya ngazi za juu Nairobi
Kenya itakuwa mwenyeji wa marais na viongozi wa serikali wapatao 15 na mawaziri 50 wa mashauri ya nchi za kigeni kwa mikutano ya ngazi...
Ujenzi wa mitaro ya kupitisha maji katika mashamba ya Mwea kukamilishwa
Ujenzi wa mitaro ya kupitisha maji uliokuwa umekwama katika mpango wa unyunyuziaji mashamba maji wa Mwea utakamilishwa katika muda wa miezi miwili ijayo.
Mitaro...
Wizara ya Afya yapunguza muda wa kuwalipa wawasilishaji bidhaa
Wizara ya Afya imetangaza kupunguzwa kwa muda wa kuwalipa wawasilishaji bidhaa za afya, hadi siku 90 kutoka siku 100.
Hata hivyo, wawasilishaji bidhaa hizo...
Morans yafuzu robo fainali ya FIBA Afrocan
Timu ya taifa ya wanaume ya mpira wa vikapu Kenya Moran’s ilifuzu kwa robo fainali ya michuano inayoendelea ya FIBA Afrocan licha ya kushindwa...
Wapiganaji nchini Sudan wahimizwa kusitisha vita
Wahusika katika mzozo wa Sudan, wameombwa kutangaza kusitisha mapigano bila masharti.
Rais William Ruto alisema Jeshi la Sudan na Kikosi cha Wanamgambo cha RSF, lazima...
Raila Odinga asema maandamano ya Jumatano yataendelea
Kiongozi wa Azimio la Umoja One Kenya Raila Odinga, siku ya Jumatatu asubuhi alitumia uchukuzi wa umma kutoka nyumbani kwake Karen hadi katikati ya...
Mahakama yadumisha uamuzi wa kusimamisha utekelezaji wa sheria ya fedha 2023
Mahakama kuu ya Kenya imekataa kuondoa uamuzi wa kusitisha kutekelezwa kwa sheria ya fedha ya mwaka 2023.
Jaji wa Mahakama kuu Mugure Thande, alitoa uamuzi...
Watu sita wauawa kwa kudungwa kisu nchini China
Watu sita wakiwemo watoto watatu, wameuawa na mwingine kujeruhiwa katika kisa cha kudungwa visu katika shule moja ya chekechea, katika mkoa wa Guangdong kusini...