Tom Mathinji
Serikali na mashirika ya kijamii kuelimisha umma kuhusu vitambulisho vipya
Serikali imeshirikiana na mashirika ya kijamii katika kuelimisha umma kuhusu vitambulisho vipya vya kidijitali vilivyopendekezwa.
Hii inafuatia mkutano ulioandaliwa Jijini Nairobi kati ya katibu katika...
Murkomen: Ukuaji wa sekta ya uchukuzi wa ndege ni muhimu kwa...
Waziri wa uchukuzi Kipchumba Murkomen, amesema ukuaji wa sekta ya uchukuzi wa ndege ni muhimu sana kwa serikali.
Waziri alitaja manufaa ya ukuaji huo kuwa...
Polisi wanasa pombe haramu kaunti ya Kiambu
Maafisa wa polisi katika kaunti ya Kiambu wamenasa pombe haramu katika eneo la Juja.
Pombe hiyo ya thamani ya zaidi ya shilingi milioni moja, ilinaswa...
Chukueni Pasipoti au ziharibiwe, aonya Kindiki
Serikali imeonya kuwa itaharibu pasipoti ambazo hazitakuwa zimechukuliwa na wenyewe baada ya kukamilika kwa muda watakaopewa kuzichukuwa.
Waziri wa usalama wa kitaifa Prof. Kithure Kindiki...
Watumishi wa umma watakiwa kuwaheshimu Wakenya
Naibu Rais Rigathi Gachagua amewahimiza watumishi wa umma kuwaheshimu Wakenya huku wanapokabiliana na changamoto zinazokumba taifa hili.
Naibu Rais alisema Wakenya wanapaswa kuhudumiwa kwa heshima...
Dorcas: Wakumbatieni walio na matatizo ya afya ya akili
Mke wa naibu rais mchungaji Dorcas Rigathi, ametoa wito kwa wakenya kuwasaidia wale walio na changamoto ya afya ya akili, kukabiliana na hali hiyo.
Akizungumza...
Maafisa wa usalama waagizwa kukabiliana vikali na wahalifu
Maafisa wa usalama katika kaunti ya Busia na sehemu zingine za nchi, wameagizwa kukabiliana vilivyo na majangili wanaowahangaisha wananchi.
Akitoa agizo hilo, waziri wa usalama...
Maafisa wa KDF wahusika katika ajali ya ndege
Maafisa kadhaa wa vikosi vya ulinzi vya Kenya KDF, waliokuwa wakipiga doria katika msitu wa Boni, wanahofiwa kufariki baada ya ndege walimokuwa wakisafiria kuanguka.
Kulingana...
Serikali yazindua huduma za mtandao kwenye kaunti ndogo
Wizara ya habari,mawasiliano na uchumi wa kidijitali kwa ushirikiano na serikali ya Ubelgiji, imezindua huduma za mtandao kwenye kaunti ndogo humu nchini.
Kupitia mradi...
Iran na Marekani zabadilishana wafungwa
Raia watano wa Marekani ambao walikuwa wamefungwa kwa miaka kadhaa nchini Iran, waliachiliwa huru kufuatia makubaliano ya mabadilishano ya wafungua yaliyoibua utata na ambayo...