Home Authors Posts by Tom Mathinji

Tom Mathinji

Tom Mathinji
1448 POSTS 0 COMMENTS

Mamia ya watu wafariki Sudan kutokana na kipindupindu

0
Mlipuko wa ugonjwa wa Kipindupindu kutokana na ukosefu wa maji umeua mamia ya watu katika taifa lenye vita Sudan, ripoti za wataalamu wa afya...

EACC kuzindua mpango wa utendakazi wa mwaka 2023-2028

0
Tume ya Maadili na Kupambana na ufisadi, EACC itazindua mpango wa miaka mitano wa kutoa mwongozo kuhusu utekelezaji wa majukumu yake. Mpango huo wa mwaka...

KALRO yazindua mpango wa upatikanaji wa mbegu zilizoidhinishwa kwa wakulima

0
Shirika la Utafiti wa Kilimo na Ufugaji Nchini, KALRO  limeanzisha mpango wa kina ili kuongeza kupatikana kwa mbegu zilizoidhinishwa kote nchini. Kupitia mpango uliopewa...

Mageuzi katika sekta ya kahawa yanaendelea, asema Rigathi Gachagua

0
Naibu wa Rais Rigathi Gachagua amesema serikali haitazuiwa katika harakati za kuboresha maslahi ya wakulima. Akizungumza katika mkutano na wadau wa sekta ndogo ya kahawa...

Edgar Lungu azuiwa kufanya mazoezi hadharani

0
Rais wa zamani wa Zambia, Edgar Lungu, ameonywa dhidi ya matukio yake ya kukimbia hadharani, huku polisi wakielezea mazoezi yake kama "harakati za kisiasa". Katika...

Mapato katika sekta ya mboga na matunda yaongezeka

0
Kenya ilipata zaidi ya shilingi bilioni 140 kutokana na  mauzo ya bidhaa za mboga, matunda na maua mwaka 2022, huku maua pekee ikileta mapato...

Pembe za ndovu za thamani ya shilingi milioni 10 zanaswa Embu

0
Maafisa wa polisi kwa ushirikiano na maafisa wa huduma kwa wanyama pori, KWS wamewakamata washukiwa wawili waliopatikana na pembe za ndovu za uzani wa...

Walio na ulemavu wapewe fursa sawa, asema Dorcas Rigathi

0
Mkewe naibu rais mhubiri Dorcas Rigathi anashinikiza kubuniwa kwa sera zitakazotoa fursa sawa kwa watu walio na ulemavu. Akiongea alipozindua rasmi hafla ya mwaka huu...

Watu wawili wafariki katika ajali ya barabarani Embu

0
Watu wawili walifariki Jumamosi mchana baada ya matatu kupoteza mwelekeo na kuwagonga waliokuwa wakitembea kwa migu nje ya hospitali ya Embu level Five. Aliyeshuhudia kisa...

Serikali yaagiza kutimuliwa kwa afisa mkuu mtendaji wa Athi Water

0
Mkuu wa utumishi wa umma Felix Koskei ameagiza bodi ya usimamizi ya shirika la Athi Water, kumsimamisha kazi afisa mkuu mtendaji Michael Thuita ili...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS