Tom Mathinji
Serikali yamtetea balozi wa Marekani hapa nchini Meg Whitman
Serikali imemtetea balozi wa Marekani humu nchini Meg Whitman kufuatia matamshi yake aliyotoa kuhusiana na uchaguzi mkuu wa mwaka uliopita.
Huku akimtetea balozi huyo, Rais...
Halmashauri ya KPA yapongezwa kwa kuboresha kivukio cha Likoni
Wakazi wa Mombasa wamepongeza halmashauri ya Usimamizi wa Bandari nchini (KPA) kwa kuboresha huduma za feri katika Kivukio cha Likoni tangu huduma za Shirika...
Wizara ya Afya yakagua vituo 808 vya matibabu nchini
Jumla ya vituo 808 vya afya vimehesabiwa kwenye sensa inayoendelea ya vituo vya afya nchini iliyoanza siku ya Jumatatu.
Wizara ya Afya inataka kuboresha utoaji...
Rais Ruto: Serikali itashirikiana na sekta ya kibinafsi kubuni nafasi za...
Zaidi ya vijana 3,500 kutoka kanda ya Afrika ya mashariki wamenufaika na kozi mbali mbali chini ya mpango wa 2jiajiri unaofadhiliwa na benki ya...
KTCPA yapongeza mpango wa lishe shuleni
Chama cha wakuu wa vyuo vya mafunzo kwa walimu nchini (KTCPA), kimeelezea imani yake kwamba mpango wa utaoji lishe kwa wanafunzi shuleni unaoungwa mkono...
Serikali imejitolea kukabiliana na ufisadi, asema Rais Ruto
Rais William Ruto amesema atatumia kikamilifu mamlaka yake ya kikatiba kulinda rasilimali za umma.
Aliwahakikishia Wakenya kwamba Serikali itatumia ushuru kwa busara katika kutekeleza mipango...
Shirika la KBC kushirikiana na lile la Xinhua kuimarisha utoaji habari
Serikali ya Kenya kupitia shirika la utangazaji nchini KBC, inatafuta fursa za ushirikiano na shirika la habari la kiserikali nchini China la Xinhua, kwa...
Raila atoa wito wa kutolewa kwa fedha zilizotengewa ugatuzi
Kiongozi wa muungano wa Azimio la Umoja One Kenya Raila Odinga, ametoa wito wa kutolewa kwa fedha zilizotengewa majukumu yaliyogatuliwa kwa serikali za kaunti.
Raila...
Polisi wanasa mihadarati aina ya Cocaine Jijini Nairobi
Majasusi wamepata mihadarati inayoshukiwa kuwa Cocaine, kwenye msako unaoendelea dhidi ya ulanguzi wa dawa za kulevya jijini Nairobi.
Kwenye oparesheni iliyotekelezwa mtaani Buru Buru...
Rais Ruto: Tunapaswa kukomboa ugatuzi dhidi ya ufisadi
Rais William Ruto ameonya kuwa hatua kali zitachukuliwa dhidi ya maafisa watakaofuja rasilimali za umma.
Alisema kuwa, huku serikali ya litaifa ikiendelea kuunga mkono ugatuzi...