Home Authors Posts by Tom Mathinji

Tom Mathinji

Tom Mathinji
1426 POSTS 0 COMMENTS

Dorcas: Familia zinapaswa kuwa msingi wa kushughulikia afya ya akili

0
Mchugaji Dorcas Rigathi ameelezea umuhimu wa jukumu la familia katika kushughulikia afya ya akili. Akizungumza wakati wa kongamano kuhusu afya ya akili Jijini Nairobi, Dorcas...

Uhuru, Mama Ngina wamsifu mpiganiaji uhuru Muthoni wa Kirima

0
Rais mstaafu Uhuru Kenyatta na aliyekuwa Mama taifa Ngina Kenyatta, wameungana na wakenya katika kusherehekea maisha ya aliyekuwa mpiganiaji uhuru Muthoni Kirima. Uhuru alimtaja Muthoni...

Mfugaji auawa, wawili wajeruhiwa kaunti ya Meru

Mfugaji mmoja aliuawa kwa kupigwa risasi huku wengine wawili wakijeruhiwa baada ya watu wanaoshukiwa kuwa wezi wa mifugo kuvamia kijiji cha Ngachiru,kaunti ndogo ya...

Kindiki: Serikali haitabagua jamii yoyote katika vita dhidi ya uhalifu

0
Maeneo yaliyotajwa na serikali kuwa hatari katika kaunti za North Rift, yatasalia kuwa hivyo huku oparesheni ya maliza uhalifu ikiendelea. Waziri wa usalama wa kitaifa...

Marekani yatambua juhudi za Kenya za kuleta amani upembe wa Afrika

0
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Antony Blinken, amepongeza mchango wa Kenya wa kuleta amani na udhabiti katika upenbe wa Afrika na ulimwengu...

Polisi wanamtafuta mwanamke anayeshukiwa kumuua Dkt. Erick Maigo

0
Maafisa wa polisi wa kukabiliana na uhalifu wa jinai DCI, wanamtafuta mwanamke wanayemshuku alihusika katika mauaji ya kinyama ya daktari Erick Maigo, aliyekuwa kaimu...

Ushirikiano kati ya walinzi wa kibinafsi na asasi za usalama wasifiwa

0
Ushirikiano kati ya asasi za serikali za usalama na kampuni za walinzi wa kibinafsi, umechangia pakubwa katika kukabiliana na ugaidi pamoja na makundi mengine...

Wizara ya afya yachukua tahadhari dhidi ya mvua ya El Nino

0
Huku taifa hili likitarajia mvua ya El Nino, wizara ya afya imechukua hatua za tahadhari kwa kutambua maeneo ambako utoaji wa huduma za afya...

Kenya na China zashirikiana kukabilana na changamoto za kiusalama

0
Kenya inalenga kuimarisha ushirikiano wake na China hasa katika ubadilishanaji wa habari za ujasusi, operesheni za pamoja za kiusalama na usimamizi wa maswala ya...

Rais Ruto amealika Kazakhstan kuwekeza humu nchini

Rais William Ruto amealika Kazakhstan kuifanya Kenya na bandari ya Mombasa kuwa kitovu cha usafirishaji wa nafaka katika kanda hii. Wakati wa mkutano na...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS