Home Authors Posts by Tom Mathinji

Tom Mathinji

Tom Mathinji
1459 POSTS 0 COMMENTS

Uzinduzi wa kitambulisho cha kidijitali umeahirishwa

0
Uzinduzi wa Maisha Namba na kitambulisho cha kidijitali uliokuwa uandaliwe siku ya Jumatatu ijayo, umeahirishwa, hayo ni kulingana na katibu katika idara ya uhamiaji...

Mshukiwa anaswa na bidhaa za wizi za thamani ya shilingi milioni...

0
Maafisa wa polisi Jijini Nairobi, wanamzuilia mshukiwa kuhusiana na kupatikana kwa bidhaa za mapishi zinazoshukiwa kuwa za wizi. Kulingana na huduma ya taifa ya polisi,...

NTSA yaongeza muda wa kufanya kazi kuimarisha utoaji huduma

0
Halmashauri ya kitaifa ya uchukuzi na usalama barabarani NTSA,  imetangaza kuongezwa kwa muda wa kufanya kazi kwa lengo la kuharakisha utoaji wa nambari za...

Vijana wahimizwa kukumbatia taasisi za kiufundi

0
Mke wa naibu Rais Mchungaji Dorcas Rigathi, ametoa wito kwa vijana hapa nchini kukumbatia taasisi za kutoa mafunzo ya kiufundi. Akizungumza katika taasisi ya kiufundi...

Watu watano wafariki katika ajali ya barabarani Kajiado

0
Watu watano walifariki Alhamisi jioni, huku wengine watatu wakipata majeraha mabaya kufuatia ajali ya barabarani iliyotokea katika eneo la Maili Tisa, Kaunti ya Kajiado. Ajali...

Serikali itatumia teknolojia kuharakisha maendeleo nchini, asema Rais Ruto

0
Kenya itashirikiana na sekta ya kibinafsi ili kukuza uchumi wa kidijitali wa nchi, Rais William Ruto amesema. Rais Ruto alisema Serikali imefanya uamuzi wa kimakusudi...

Watu wanne wakamatwa kuhusiana na jaribio la mapinduzi Burkina Faso

0
Siku moja baada ya serikali ya kijeshi ya Burkina Faso kutangaza kuwa imetibua jaribio la mapinduzi, utawala wa nchi hiyo umesema umewatia nguvuni maafisa...

Vijana milioni moja hapa nchini kupata ajira kupitia mtandao

0
Kenya inanuia kubuni nafasi milioni moja za ajira kwa vijana kupitia jukwaa la mtandao. Waziri wa habari, mawasiliano na uchumi wa dijitali Eliud Owalo, alisema...

Gachagua: Serikali itatumia rasilimali zote kukabiliana na athari za El Nino

0
Naibu Rais Rigathi Gachagua amesema serikali itahakikisha idara zake zote zimejiandaa vilivyo kukabiliana na athari zozote za mvua ya El Nino. "Ninatoa hakikisho kwamba serikali...

Kenya, Uganda na Tanzania kuandaa fainali za kombe la bara Afrika...

0
Kenya, Tanzania na  Uganda zitaandaa fainali za kombe la mataifa bingwa barani Afrika mwaka 2027. Tangazo hilo lilitolewa leo Jumatano jijini Cairo nchini Misri, huku...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS