Tom Mathinji
Mugure Thande na David Majanja miongoni mwa majaji waliohamishwa
Idara ya Mahakama imewahamisha majaji 13 kupitia tangazo lililotolewa juzi Jumatatu.
Miongoni mwa majaji waliohamishwa ni pamoja na Mugure Thande, ambaye alikuwa akiongoza kitengo cha...
Mama taifa Rachael Ruto awahimiza viongozi kaunti ya Narok kuungana
Mama taifa Rachael Ruto ametoa wito kwa viongozi wa kaunti ya Narok kushirikiana na kuunga mkono vitengo mbali mbali vya uongozi, kwa manufaa ya...
Afisa wa polisi ampiga risasi mwenzake kaunti ya Nakuru
Maafisa wa polisi wanachunguza kisa ambapo afisa wa polisi alimpiga risasi afisa mwenzake na kumuua siku ya Jumanne asubuhi.
Kamanda wa polisi kaunti ya Nakuru...
Kioni kuongoza kundi la kiufundi la Azimio wakati wa mazungumzo na...
Huku mazungumzo kati ya Kenya Kwanza na muungano wa Azimio la Umoja One Kenya ukitarajiwa kung'oa nanga siku ya Jumatano katika ukumbi wa Bomas,...
Wakazi wa Samburu waonywa dhidi ya ukeketaji wasichana
Wakazi wa kaunti ndogo ya Samburu Mashariki wameonywa dhidi ya kuendeleza tamaduni potovu ya ukeketaji wa wasichana.
Akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa mradi wa...
Kalonzo kuongoza ujumbe wa Azimio kwenye mazungumzo na Kenya Kwanza
Muungano wa Azimio la Umoja One Kenya, umezindua kundi la wanachama watano kuuuwakilisha kwenye mchakato wa mazugumzo na Kenya Kwanzaambayo yalipendekezwa.
Kwenye taarifa, Azimio...
Aliyekuwa kiongozi wa Mungiki Maina Njenga akamatwa
Aliyekuwa kiongozi wa Mungiki Maina Njenga alikamatwa na maafisa wa polisi Jumatano usiku.
Kulingana na wakili wake Ndegwa Njiru, Njenga alikamatwa pamoja na kakake Njoroge...
Serikali yatangaza kufunguliwa kwa shule kaunti za Nairobi, Kisumu na Mombasa
Serikali imetanga kurejelewa kwa masomo katika shule zote za msingi na sekondari za kutwa katika kaunti za Nairobi, Mombasa na Kisumu.
Katika taarifa ya pamoja...
Rais Ruto: Upinzani hautavuruga ajenda ya Serikali kupitia maandamano
Serikali itawachukulia hatua kali wanaotumia vibaya Katiba na kusababisha machafuko hapa nchini.
Rais William Ruto amesema mpango huo utasitishwa. huku akibainisha kuwa Serikali ina...
Idara ya Magereza yawaachilia huru wafungwa 23,000
Idara ya magereza imewaachilia huru wafungwa 23,000 wa makosa madogo madogo, kwenye marekebisho yanayoendelea ya kupunguza idadi ya wafungwa.
Katibu katika idara hiyo Salome Muhia,...