Tom Mathinji
KALRO yazindua mpango wa upatikanaji wa mbegu zilizoidhinishwa kwa wakulima
Shirika la Utafiti wa Kilimo na Ufugaji Nchini, KALRO limeanzisha mpango wa kina ili kuongeza kupatikana kwa mbegu zilizoidhinishwa kote nchini.
Kupitia mpango uliopewa...
Mageuzi katika sekta ya kahawa yanaendelea, asema Rigathi Gachagua
Naibu wa Rais Rigathi Gachagua amesema serikali haitazuiwa katika harakati za kuboresha maslahi ya wakulima.
Akizungumza katika mkutano na wadau wa sekta ndogo ya kahawa...
Edgar Lungu azuiwa kufanya mazoezi hadharani
Rais wa zamani wa Zambia, Edgar Lungu, ameonywa dhidi ya matukio yake ya kukimbia hadharani, huku polisi wakielezea mazoezi yake kama "harakati za kisiasa".
Katika...
Mapato katika sekta ya mboga na matunda yaongezeka
Kenya ilipata zaidi ya shilingi bilioni 140 kutokana na mauzo ya bidhaa za mboga, matunda na maua mwaka 2022, huku maua pekee ikileta mapato...
Pembe za ndovu za thamani ya shilingi milioni 10 zanaswa Embu
Maafisa wa polisi kwa ushirikiano na maafisa wa huduma kwa wanyama pori, KWS wamewakamata washukiwa wawili waliopatikana na pembe za ndovu za uzani wa...
Walio na ulemavu wapewe fursa sawa, asema Dorcas Rigathi
Mkewe naibu rais mhubiri Dorcas Rigathi anashinikiza kubuniwa kwa sera zitakazotoa fursa sawa kwa watu walio na ulemavu.
Akiongea alipozindua rasmi hafla ya mwaka huu...
Watu wawili wafariki katika ajali ya barabarani Embu
Watu wawili walifariki Jumamosi mchana baada ya matatu kupoteza mwelekeo na kuwagonga waliokuwa wakitembea kwa migu nje ya hospitali ya Embu level Five.
Aliyeshuhudia kisa...
Serikali yaagiza kutimuliwa kwa afisa mkuu mtendaji wa Athi Water
Mkuu wa utumishi wa umma Felix Koskei ameagiza bodi ya usimamizi ya shirika la Athi Water, kumsimamisha kazi afisa mkuu mtendaji Michael Thuita ili...
Hakuna migawanyiko serikalini, asema Gachagua
Naibu Rais Rigathi Gachagua amepuuzilia mbali madai kwamba kuna malumbano katika utawala wa Kenya Kwanza, akisema kuwa serikali inafanya kazi kwa Umoja kutimiza ahadi...
Naibu OCS wa Kiambu akamatwa kwa kupokea hongo
Maafisa wa tume ya maadili na vita dhidi ya ufisadi (EACC), wamewatia nguvuni maafisa wawili wa polisi kwa madai ya kuchukua hongo.
Kulingana na EACC,...