Tom Mathinji
Shirika la KBC kushirikiana na lile la Xinhua kuimarisha utoaji habari
Serikali ya Kenya kupitia shirika la utangazaji nchini KBC, inatafuta fursa za ushirikiano na shirika la habari la kiserikali nchini China la Xinhua, kwa...
Raila atoa wito wa kutolewa kwa fedha zilizotengewa ugatuzi
Kiongozi wa muungano wa Azimio la Umoja One Kenya Raila Odinga, ametoa wito wa kutolewa kwa fedha zilizotengewa majukumu yaliyogatuliwa kwa serikali za kaunti.
Raila...
Polisi wanasa mihadarati aina ya Cocaine Jijini Nairobi
Majasusi wamepata mihadarati inayoshukiwa kuwa Cocaine, kwenye msako unaoendelea dhidi ya ulanguzi wa dawa za kulevya jijini Nairobi.
Kwenye oparesheni iliyotekelezwa mtaani Buru Buru...
Rais Ruto: Tunapaswa kukomboa ugatuzi dhidi ya ufisadi
Rais William Ruto ameonya kuwa hatua kali zitachukuliwa dhidi ya maafisa watakaofuja rasilimali za umma.
Alisema kuwa, huku serikali ya litaifa ikiendelea kuunga mkono ugatuzi...
Seneta Mandago akamatwa na polisi
Seneta wa Uasin Gishu Jackson Mandago, amekamatwa na maafisa wa polisi saa chache baada ya mahakama kutoa kibali cha kukamatwa kwake, kuhusiana na sakata...
Mataifa ya Afrika ya kati yaunga mkono ECOWAS
Jumuiya ya kanda ya Afrika ya Kati ECCAS, imeunga mkono juhudi za wenzao wa Afrika Magharibi, ECOWAS katika kurejesha utaratibu wa kikatiba nchini Niger.
Hayo...
Polisi eneo la Gigiri wanasa mihadarati na pesa taslimu
Shehena ya bangi na shillingi milioni 13.4 pesa taslimu, zimepatikana kwenye operesheni ya kijasusi iliyoongozwa na maafisa wa upelelezi kutoka kitengo cha kukabiliana na...
Mshukiwa mkuu katika mauaji ya afisa wa DCI akamatwa
Maafisa wa polisi wamemtia nguvuni mshukiwa mkuu katika mauaji ya afisa wa idara ya upelelezi wa jinai, DCI David Mayaka, yaliyotekelezwa wiki iliyopita katika...
Maafisa wa polisi kutoa ulinzi katika viwanda vya kahawa
Serikali itawapeleka maafisa wa polisi katika viwanda vyote vya kahawa hapa nchini, kukabiliana na visa vinavyoongezeka vya wizi wa zao hilo, hayo ni kwa...
Polisi wanasa mizoga ya punda iliyokusudiwa kuuzwa Nairobi
Maafisa wa polisi wamepata mizoga ya punda katika kichaka kimoja kaunti ya Kiambu, iliyokuwa ikitayarishwa ili kuuzwa katika masoko ya humu nchini.
Mizoga hiyo ilipatikana...