Tom Mathinji
Serikali yapiga marufuku uagizaji ngano kutoka nje
Serikali imezuia viwanda vya kusaga unga kuagiza ngano kutoka nje ya nchi, hadi wakulima wa humu nchini watakapomaliza akiba yao ya sasa inayokisiwa kufikia...
Wanyamapori katika mbuga za kitaifa kuathiriwa na mvua ya El Nino
Taasisi ya utafiti na mafunzo ya wanyama-pori-WRTI, imeanza shughuli ya kuyatambua maeneo ya mbuga na vyanzo vya maji ambavyo huenda vikaathirika kutokana na mvua...
Dorcas Rigathi azindua miche Milioni 12 kaunti ya Nyeri
Mke wa Naibu Rais mchungaji Dorcas Rigathi, Leo Jumamosi amezindua awamu ya kwanza ya miche milioni 12 chini ya halmashauri ya maendeleo ya mto...
Morocco na Israel zatia saini mkataba wa ushirikiano katika kilimo
Waziri wa kilimo wa Morocco Mohamed Sadiki ametia saini mkataba wa ushirikiano na mwenzake wa Israel siku ya Alhamisi, kwa lengo la kuimarisha ushirikiano...
Uzinduzi wa kitambulisho cha kidijitali umeahirishwa
Uzinduzi wa Maisha Namba na kitambulisho cha kidijitali uliokuwa uandaliwe siku ya Jumatatu ijayo, umeahirishwa, hayo ni kulingana na katibu katika idara ya uhamiaji...
Mshukiwa anaswa na bidhaa za wizi za thamani ya shilingi milioni...
Maafisa wa polisi Jijini Nairobi, wanamzuilia mshukiwa kuhusiana na kupatikana kwa bidhaa za mapishi zinazoshukiwa kuwa za wizi.
Kulingana na huduma ya taifa ya polisi,...
NTSA yaongeza muda wa kufanya kazi kuimarisha utoaji huduma
Halmashauri ya kitaifa ya uchukuzi na usalama barabarani NTSA, imetangaza kuongezwa kwa muda wa kufanya kazi kwa lengo la kuharakisha utoaji wa nambari za...
Vijana wahimizwa kukumbatia taasisi za kiufundi
Mke wa naibu Rais Mchungaji Dorcas Rigathi, ametoa wito kwa vijana hapa nchini kukumbatia taasisi za kutoa mafunzo ya kiufundi.
Akizungumza katika taasisi ya kiufundi...
Watu watano wafariki katika ajali ya barabarani Kajiado
Watu watano walifariki Alhamisi jioni, huku wengine watatu wakipata majeraha mabaya kufuatia ajali ya barabarani iliyotokea katika eneo la Maili Tisa, Kaunti ya Kajiado.
Ajali...
Serikali itatumia teknolojia kuharakisha maendeleo nchini, asema Rais Ruto
Kenya itashirikiana na sekta ya kibinafsi ili kukuza uchumi wa kidijitali wa nchi, Rais William Ruto amesema.
Rais Ruto alisema Serikali imefanya uamuzi wa kimakusudi...