Tom Mathinji
Watu 100 wafariki katika mkasa wa moto Iraq
Takriban watu 100 wamefariki na wengine 150 kujeruhiwa, baada ya moto kuzuka kwenye harusi kaskazini mwa Iraq, vyombo vya habari vya serikali vimeripoti.
Akizungumza na...
Naibu Rais Rigathi Gachagua akutana na wakurugenzi wa KTDA
Naibu Rais Rigathi Gachagua ameandaa mkutano na wakurugenzi wa Halmashauri ya Ustawi wa Majani Chai Nchini, KTDA katika makazi yake ya Karen jijini Nairobi.
Wakulima...
Mshukiwa mkuu katika mauaji ya Erick Maigo akamatwa
Maafisa wa polisi wamemtia nguvuni mshukiwa mkuu katika mauaji ya Mkurugenzi wa Fedha wa Nairobi Hospital, Eric Maigo.
Kulingana na maafisa wa polisi wa makosa...
Mkutano wa wakuu wa jeshi la nchi kavu wang’oa nanga India
Kamanda wa jeshi la nchi kavu Luteni Jenerali Peter Njiru, anashiriki mkutano wa amani na wakuu wengine wa jeshi katika eneo la bahari Hindi...
Mwanafunzi akamatwa Uganda kwa ulanguzi wa binadamu
Polisi nchini Uganda wamemkamata mwanafunzi mwenye umri wa miaka 17, kwa madai ya kuwasafirisha vijana 170.
Polisi walisema walimkamata mwanafunzi huyo wa shule ya upili...
Mwanamume ambaka ajuza wa umri wa miaka 80 Uganda
Maafisa wa polisi katika wilaya ya Amuru nchini Uganda, wanamzuilia mwanamume wa umri wa miaka 20 kwa jina Oyet Sunday kwa madai ya kumbaka...
Mipango ya kumfurusha Gavana wa Nyamira yakamilika
Wawakilishi wadi kaunti ya Nyamira, wamekamilisha mswada wa kumfurusha Gavana wa kaunti hiyo Amos Nyaribo kwa madai ya utepetevu.
Wakiongozwa na kiongozi wa wengi katika...
Wasimamizi wa mitihani watakiwa kuzingatia miongozo iliyopo
Huku mitihami ya kitaifa inapokaribia, wasimamizi wa mitihami hiyo wametakiwa kutekeleza uadilifu na kuzingatia miongozo iliyopo.
Waziri wa Elimu Ezekiel Machogu alisema hatua kali zitachukuliwa...
Mamia ya watu wafariki Sudan kutokana na kipindupindu
Mlipuko wa ugonjwa wa Kipindupindu kutokana na ukosefu wa maji umeua mamia ya watu katika taifa lenye vita Sudan, ripoti za wataalamu wa afya...
EACC kuzindua mpango wa utendakazi wa mwaka 2023-2028
Tume ya Maadili na Kupambana na ufisadi, EACC itazindua mpango wa miaka mitano wa kutoa mwongozo kuhusu utekelezaji wa majukumu yake.
Mpango huo wa mwaka...