Home Authors Posts by Tom Mathinji

Tom Mathinji

Tom Mathinji
1548 POSTS 0 COMMENTS

Ujerumani kurejesha mabaki ya binadamu nchini Tanzania

0
Ujerumani iko tayari kwa mazungumzo na Tanzania kuhusu urithi wa miongo yake mitatu ya utawala wa kikoloni katika taifa la Afrika Mashariki, marais wa...

Mfalme Charles asikitikia dhuluma zilizotekelezwa dhidi ya Wakenya

Mfalme Charles wa tatu ameelezea majuto na huzuni mkubwa kutokana na dhuluma zilizotekelezwa na serikali ya Uingereza dhidi ya wakenya wakati wa harakati za...

Ziara ya Mfalme Charles kuimarisha biashara nchini

0
Kenya itaongeza uhusiano wake na Uingereza ili kuimarisha biashara na uwekezaji. Rais William Ruto amesema nchi hizo mbili zina uhusiano tajiri, thabiti na wa kihistoria,...

Lionel Messi ashinda tuzo ya Ballon d’Or

0
Mshambulizi wa timu ya taifa ya Argentina na klabu ya Inter Miami Lionel Messi, ameshinda kwa mara ya nane tuzo ya wanaume ya Ballon...

Waziri Kindiki ashauriana na maafisa wa usalama Baringo

0
Waziri wa usalama wa taifa Prof. Kithure Kindiki anaongoza mkutano wa usalama katika eneo la Loruk, eneo bunge la Baringo kaskazini. Mkutano huo na maafisa...

Kenya kuimarisha hatua za kudhibiti matumizi ya tumbako

0
Wizara ya afya imejizatiti kuimarisha hatua za kukabili matumizi ya bidhaa za tumbako hapa nchini kwa ajili ya kuboresha afya ya wananchi. Katibu wa  afya...

Rachel Ruto kufanya mazungumzo na Malkia Camilla

0
Mama taifa Rachel Ruto atafanya mazungumzo na Malkia Camilla wa Uingereza ambaye ameandamana na mume wake Mfalme Charles wa tatu katika ziara rasmi ya...

Mitihani ya KCPE na KPSEA yaingia siku ya pili

0
Mtihani wa kitaifa wa darasa la nane (KCPE) na tathmini ya gredi ya sita (KPSEA), imeingia siku ya pili leo Jumanne, huku maafisa wakuu...

Mfalme Charles na Malkia Camilla wawasili nchini

0
Mfalme Charles wa tatu wa Uingereza aliwasili nchini Jumatatu usiku akiwa ameandamana na mkewe Malkia Camilla. Hii ndio ziara rasmi ya kwanza ya mfalme Charles...

Watu milioni 7 nchini DRC watoroka makazi kutokana na ghasia

0
Umoja wa Mataifa unasema rekodi ya watu milioni 6.9 sasa ni wakimbizi wa ndani kwa ndani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, kutokana na...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS