Home Authors Posts by Tom Mathinji

Tom Mathinji

Tom Mathinji
1318 POSTS 0 COMMENTS

Mshukiwa mkuu katika mauaji ya afisa wa DCI akamatwa

0
Maafisa wa polisi wamemtia nguvuni mshukiwa mkuu katika mauaji ya afisa wa idara ya upelelezi wa jinai, DCI David Mayaka,  yaliyotekelezwa wiki iliyopita katika...

Maafisa wa polisi kutoa ulinzi katika viwanda vya kahawa

Serikali itawapeleka maafisa wa polisi katika viwanda vyote vya kahawa hapa nchini, kukabiliana na visa vinavyoongezeka vya wizi wa zao hilo, hayo ni kwa...

Polisi wanasa mizoga ya punda iliyokusudiwa kuuzwa Nairobi

0
Maafisa wa polisi wamepata mizoga ya punda katika kichaka kimoja kaunti ya Kiambu, iliyokuwa ikitayarishwa ili kuuzwa katika masoko ya humu nchini. Mizoga hiyo ilipatikana...

Serikali ya kaunti ya Kiambu kujenga vituo 130 vya ECDE

0
Serikali ya kaunti ya Kiambu imeanzisha ujenzi wa vituo vya kisasa ya wanafunzi wa elimu ya chekechea, ECDE. Hatua hiyo inalenga kuhakikisha mazingira bora ya...

Mahakama ya Juu kutoa mwelekeo kuhusu sheria ya fedha Agosti 28

Mahakama ya Juu tarehe 28 mwezi huu itatoa mwelekeo kwenye kesi iliyowasilishwa na Seneta wa kaunti ya Busia Okiya Omtatah ya kupinga agizo la...

Rais Ruto afanya mazungumzo na Rais Museveni

0
Rais William Ruto siku ya Jumapili alifanya mazungumzo na Rais wa Uganda Yoweri Museveni, katika ikulu ya Entebbe. Viongozi hao wawili walijadiliana kuhusu maswala ya...

Rais Ruto: Uwekaji akiba utakomesha mikopo ya nje

0
Rais William Ruto amesema Serikali ina nia ya kuongeza akiba ya nchi hii. Kiongozi wa taifa alisema hatua hiyo itaiondolea nchi haja ya kukopa kutoka...

Washukiwa watatu wa wizi wa kebo watiwa nguvuni Emali

0
Maafisa wa upelelezi wamewatia mbaroni washukiwa watatu na kunasa shehena ya Kebo za deta, zinazoaminika kuibwa katika eneo la Emali, Kaunti ya Makueni. Wakati...

Raila aonya dhidi ya jaribio lolote la kunyamazisha upinzani

0
Kiongozi wa upinzani Raila Odinga amesisitiza kujitolea kwake kuhusu mazungumuzo kati ya serikali na upinzani, yatakahoandaliwa Jumatatu ijayo, lakini akaonya dhidi ya jaribio lolote...

Mudavadi: Mazungumzo ya pande mbili yataangazia maswala ya wakenya

Waziri mwenye mamlaka makuu Musalia Mudavadi, amewahakikishia wakenya kwamba mazungumzo baina ya serikali na upinzani yataangazia masuala yanayowaathiri wakenya na wala sio mkataba wa...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS