Tom Mathinji
Wabunge wakashifu shambulizi dhidi ya mbunge wa kaunti ya Kirinyaga Njeri...
Wabunge siku ya Jumatano, wamekashifu vikali kisa cha kushambuliwa kwa mwakilishi wanawake wa kaunti ya Kirinyaga Jane Njeri Maina.
Maina, ambaye alikuwa akitembea kwa miguu...
Raia nchini Zimbabwe washiriki uchaguzi mkuu
Raia nchini Zimbabwe wanashiriki Uchaguzi Mkuu wakati ambapo taifa hilo linakabiliwa na mfumko wa bei.
Siku hii imetangazwa kuwa siku ya mapumziko ili kuwaruhusu wapiga...
Jamii ya Maa yapongezwa kwa kudumisha utamaduni
Rais William Ruto ameipongeza jamii ya wamaasai kwa kujitolea kudumisha utamaduni wao pamoja na mazingira.
Akiongea Jumanne alipofungua rasmi tamasha la kitamaduni la jamii...
Dorcas Rigathi: Ipo haja ya kuangazia haki za mtoto wa kiume
Mke wa naibu rais mhubiri Dorcas Rigathi ametoa wito kwa viongozi wakiwemo wale wa kidini kuangazia maslahi ya mtoto wa kiume na vijana.
Dorcas...
Polisi wamuua mshukiwa wa mauaji ya afisa wa polisi David Mayaka
Mmoja wa washukiwa anayehusishwa na mauaji ya afisa wa polisi wa kitengo cha DCI David Mayaka ameuawa kwa kupigiwa risasi katika mtaa wa Kayole...
KPA yashutumiwa kwa kutozingatia sheria ya jinsia ya thuluthi mbili
Halmashauri ya bandari nchini, KPA haijazingatia sheria ya jinsia ya thuluthi mbili katika uajiri wa wafanyakazi wake kulingana na ripoti ya kamati ya bunge...
Serikali yatetea hatua ya kuwapeleka wauguzi Uingereza
Serikali imetetea uamuzi wake wa kuwapeleka wahudumu wa afya wa Kenya kufanya kazi nchini Uingereza.
Akiitetea hatua hiyo, Waziri wa Afya Susan Nakhumicha amesema...
Ukraine yashambulia ndege hatari ya Urusi
Ndege kubwa ya Urusi ya kurusha mabomu ya masafa marefu imeharibiwa katika shambulio la ndege zisizo na rubani za Ukraine, kulingana na ripoti.
Picha zilizochapishwa...
Kenya na Sudan Kusini kuimarisha uhusiano
Kenya imejitolea kuimarisha uhusiano kati yake na Sudan Kusini, kwa manufaa ya raia wa mataifa haya mawili.
Rais William Ruto amesema nchi hizo mbili...
Kenya na Ethiopia kutatua mizozo ya mpakani
Serikali za Kenya na Ethiopian zimeazimia kufanya kazi kwa pamoja ili kushughulikia kikamilifu mizozo ya mpakani siku za usoni.
Haya yanajiri baada ya taharuki ya...