Tom Mathinji
Watu watano wafariki katika ajali ya barabarani Kajiado
Watu watano walifariki Alhamisi jioni, huku wengine watatu wakipata majeraha mabaya kufuatia ajali ya barabarani iliyotokea katika eneo la Maili Tisa, Kaunti ya Kajiado.
Ajali...
Serikali itatumia teknolojia kuharakisha maendeleo nchini, asema Rais Ruto
Kenya itashirikiana na sekta ya kibinafsi ili kukuza uchumi wa kidijitali wa nchi, Rais William Ruto amesema.
Rais Ruto alisema Serikali imefanya uamuzi wa kimakusudi...
Watu wanne wakamatwa kuhusiana na jaribio la mapinduzi Burkina Faso
Siku moja baada ya serikali ya kijeshi ya Burkina Faso kutangaza kuwa imetibua jaribio la mapinduzi, utawala wa nchi hiyo umesema umewatia nguvuni maafisa...
Vijana milioni moja hapa nchini kupata ajira kupitia mtandao
Kenya inanuia kubuni nafasi milioni moja za ajira kwa vijana kupitia jukwaa la mtandao.
Waziri wa habari, mawasiliano na uchumi wa dijitali Eliud Owalo, alisema...
Gachagua: Serikali itatumia rasilimali zote kukabiliana na athari za El Nino
Naibu Rais Rigathi Gachagua amesema serikali itahakikisha idara zake zote zimejiandaa vilivyo kukabiliana na athari zozote za mvua ya El Nino.
"Ninatoa hakikisho kwamba serikali...
Kenya, Uganda na Tanzania kuandaa fainali za kombe la bara Afrika...
Kenya, Tanzania na Uganda zitaandaa fainali za kombe la mataifa bingwa barani Afrika mwaka 2027.
Tangazo hilo lilitolewa leo Jumatano jijini Cairo nchini Misri, huku...
Mauzo ya majani chai katika masoko ya nje yaimarika
Mauzo ya majani chai katika masoko ya nje yataongezeka kutoka shilingi bilioni 138 mwaka jana, hadi shilingi bilioni 150 mwaka huu, hayo ni kulingana...
CAF kutangaza waandalizi wa fainali za Kombe la Afrika miaka ya...
Shirikisho la soka barani Afrika, CAF linatarajiwa kutangaza waandalizi wa fainali za kombe la bara Afrika miaka ya 2025 na 2027 kwenye mkutano utakaoandaliwa...
Waziri Nakhumicha awapongeza wafanyakazi katika Wizara ya Afya
Waziri wa Afya Susan Nakhumicha amewahimiza wafanyakazi wote katika wizara yake kuunga mkono mpango wa afya kwa wote kuambatana na ajenda ya mageuzi ya...
Watu 100 wafariki katika mkasa wa moto Iraq
Takriban watu 100 wamefariki na wengine 150 kujeruhiwa, baada ya moto kuzuka kwenye harusi kaskazini mwa Iraq, vyombo vya habari vya serikali vimeripoti.
Akizungumza na...