Tom Mathinji
Kitengo cha matibabu ya macho chafunguliwa hospitali ya Mama Lucy Kibaki
Gavana wa kaunti ya Nairobi Johnson Sakaja amefungua rasmi kitengo cha matibabu ya macho katika hospitali ya Mama Lucy Kibaki jijini Nairobi.
Gavana Sakaja alisema...
Novemba 13 yatangazwa sikukuu ya kupanda miti
Serikali imetangaza kuwa tarehe 13 mwezi huu itakuwa siku kuu ya upanzi wa miti kote nchini wakati huu wa msimu wa mvua.
Tangazo hilo lilitolewa...
Rais Ruto aongoza mkutano wa wabunge wa Kenya Kwanza
Rais William Ruto leo Jumanne aliongoza mkutano wa wabunge wa muungano wa Kenya Kwanza katika Ikulu ya Nairobi.
Naibu Rais Rigathi Gachagua na wabunge ni...
Simu 417 zilizoibwa zapatikana kaunti ya Nyeri
Maafisa wa polisi wa kitengo cha makosa ya jinai katika kaunti ya Nyeri, wamepata simu za rununu 417 zinazoshukiwa kuibwa, huku mshukiwa mwenye umri...
Afisi ya uhamiaji kufunguliwa kaunti ya Kericho
Katibu katika idara ya uhamiaji Julius Julius Bittok, ametangaza kuwa serikali itafungua afisi ya uhamiaji katika mji wa Kericho.
Afisi hiyo itakayohifadhiwa katika jumba la...
Kambi ya walinzi wa baharini kuanzishwa katika kisiwa cha Mfangano
Serikali ina mipango ya kuanzisha kambi ya walinzi wa baharini katika kisiwa cha Mfangano kaunti ya Homa Bay, ili kukabiliana na maswala ya usalama...
Chama cha kuwanufaisha wanawake kiuchumi chazinduliwa Nyanza
Wanawake walio katika taaluma eneo la Nyaza wamehimizwa kuwa kielelezo na kuwawezesha wanawake kuwa na fursa sawa katika maendelo ya uchumi wa taifa hili.
Waziri...
Visa vya dhuluma za kimapenzi dhidi ya watoto vyaongezeka Malindi
Chama cha watumiaji wa mahakama ya Malindi inayoshughulika na maswala ya watoto, kimeelezea wasiwasi kuhusu ongezeko la visa vya dhuluma dhidi ya watoto katika...
Mwili wa mwanamke mwenye asili ya Kenya wapatikana katika uwanja wa...
Mamlaka za Marekani na Kenya zinamsaka muuaji wa mwanamke Mkenya mwenye aliye pia na urai wa Marekani aliyepatikana amefariki katika Uwanja wa Ndege wa...
Washukiwa wa wizi wa mabavu wakamatwa Vihiga
Washukiwa wawili wa wizi wa kimabavu ambao wamekuwa mafichoni kwa muda wa miezi miwili, wametiwa nguvuni.
Washukiwa hao wanadaiwa kumshambulia dereva wa lori katika soko...