Tom Mathinji
Kaunti ya Kericho yapokea vifaa vya matibabu kutoka KEMSA
Halmashauri ya kusambaza vifaa vya matibabu nchini (KEMSA), imeanza kusambaza vifaa vya matibabu vya thamani ya shilingi milioni 70 kwa vituo vya matibabu kaunti...
Kesi kuhusu mauaji ya Monica Kimani kuamuliwa Disemba 15
Mahakama Kuu imeahirisha kutoa hukumu dhidi ya Joseph Irungu almaarufu Jowie na Jackie Maribe kufuatia mauaji ya mwanabiashara Monica Kimani yaliyotekelezwa mwezi Septemba mwaka...
Rais Ruto atua Nyanza kwa ziara ya kimaendeleo
Rais William Ruto leo Ijumaa anaanza ziara ya siku nne katika eneo la Nyanza, ambako atazindua miradi ya maendeleo katika eneo hilo.
Kiongozi wa taifa...
Lori la kusafirisha mafuta ya kupika laanguka Gitaru
Shughuli za uchukuzi katika barabara kuu ya Nairobi-Nakuru zilitatizwa Ijumaa asubuhi baadaya lori lililokuwa limebaba mafuta ya kupikia kuanguka katika enelo la makutano la...
Serikali kushirikiana na vyuo vikuu kuimarisha sekta ya madini
Serikali imetangaza mipango ya kushirikiana na vyuo vikuu na wadau katika sekta ya uchimbaji madini, katika kufanya utafiti kuhusu thamani ya kiuchumi ya madini...
Wanafunzi watano watekwa nyara Nigeria
Watu wenye silaha wamewateka nyara wanafunzi watano kaskazini mwa Nigeria, polisi walisema, siku chache baada ya wanafunzi wengine zaidi ya 20 kutekwa nyara katika...
Kikosi maalum cha usalama chapelekwa kurejesha utulivu Sondu
Serikali imewahamisha maafisa wakuu wa usalama katika eneo la Sondu lililoko katika mpaka wa Kisumu na Kericho, ambalo limekumbwa na visa vya utovu wa...
Rais Ruto apiga marufuku uagizaji mahindi na ngano kutoka nje
Serikali imepiga marufuku uagizaji mahindi na ngano kutoka mataifa ya nje, katika hatua iliyotajwa ya kuwakinga wakulima wa hapa nchini.
Rais William Ruto alisema haitatoa...
Bobi Wine: Nyumba yangu imezingirwa na polisi
Kiongozi wa upinzani nchini Uganda Bobi Wine amesema nyumba yake imezingirwa na maafisa wa usalama.
Wine alikamatwa katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa...
Tahadhari yatolewa kwa wakazi wa Garissa kuhusiana na El Nino
Watu wanaoishi kwenye kingo za mto Tana na maeneo mengine yaliyo chini katika kaunti ya Garissa, wameshauriwa kuhamia nyanda za juu na kuzingatia tahadhari...