Home Authors Posts by Tom Mathinji

Tom Mathinji

Tom Mathinji
1428 POSTS 0 COMMENTS

Kaunti ya Kajiado yapokea ambulensi za pikipiki

0
Ni afueni kwa kina mama wajawazito katika sehemu za mashambani kaunti ya Kajiado, kwani watapokea huduma za matibabu kwa urahisi baada ya kuanzishwa kwa...

Mwanamume afungwa miaka 41 kwa mauaji ya kiongozi wa kidini Uganda

0
Mahakama moja ya kijeshi nchini Uganda, siku ya Jumatatu ilimhukumu mwanamume wa miaka 43 kifugo cha miaka 41 gerezani, kwa mauaji ya kiongozi wa...

Kenya yapata idhini ya kuwapeleka maafisa wa polisi Haiti

0
Umoja wa Mataifa umeunga mkono pendekezo la Kenya la kuongoza kikosi cha kimataifa cha usalama nchini Haiti, kujibu ombi la waziri mkuu wa taifa...

Halmashauri ya KRA yazindua mnada mtandaoni

0
Halmashauri ya ukusanyaji ushuru hapa nchini KRA, imezindua mnada wa mtandaoni, kama sehemu ya kulainisha taratibu za usimamizi kuhusu ushuru. Kwa mujibu wa KRA, hatua...

Gachagua: Tunajiandaa vilivyo kukabiliana na athari za El Nino

0
Serikali za kaunti na washirika wa kimaendeleo, watakutana na maafisa wa serikali kuu, kuangazia rasilimali zinazohitajika kukabiliana na athari za mvua ya El Nino. Akizungumza...

Serikali yapiga marufuku uagizaji ngano kutoka nje

Serikali imezuia viwanda vya kusaga unga kuagiza ngano kutoka nje ya nchi, hadi wakulima wa humu nchini watakapomaliza akiba yao ya sasa inayokisiwa kufikia...

Wanyamapori katika mbuga za kitaifa kuathiriwa na mvua ya El Nino

Taasisi ya utafiti na mafunzo ya wanyama-pori-WRTI, imeanza shughuli ya kuyatambua maeneo ya mbuga na vyanzo vya maji ambavyo huenda vikaathirika kutokana na mvua...

Dorcas Rigathi azindua miche Milioni 12 kaunti ya Nyeri

0
Mke wa Naibu Rais mchungaji Dorcas Rigathi, Leo Jumamosi amezindua awamu ya kwanza ya miche milioni 12 chini ya halmashauri ya maendeleo ya mto...

Morocco na Israel zatia saini mkataba wa ushirikiano katika kilimo

0
Waziri wa kilimo wa Morocco Mohamed Sadiki ametia saini mkataba wa ushirikiano na mwenzake wa Israel siku ya Alhamisi, kwa lengo la kuimarisha ushirikiano...

Uzinduzi wa kitambulisho cha kidijitali umeahirishwa

0
Uzinduzi wa Maisha Namba na kitambulisho cha kidijitali uliokuwa uandaliwe siku ya Jumatatu ijayo, umeahirishwa, hayo ni kulingana na katibu katika idara ya uhamiaji...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS