Home Authors Posts by Tom Mathinji

Tom Mathinji

Tom Mathinji
1448 POSTS 0 COMMENTS

Kikosi maalum cha usalama chapelekwa kurejesha utulivu Sondu

0
Serikali imewahamisha maafisa wakuu wa usalama katika eneo la Sondu lililoko katika mpaka wa Kisumu na Kericho, ambalo limekumbwa na visa vya utovu wa...

Rais Ruto apiga marufuku uagizaji mahindi na ngano kutoka nje

0
Serikali imepiga marufuku uagizaji mahindi na ngano kutoka mataifa ya nje, katika hatua iliyotajwa ya kuwakinga wakulima wa hapa nchini. Rais William Ruto alisema haitatoa...

Bobi Wine: Nyumba yangu imezingirwa na polisi

0
Kiongozi wa upinzani nchini Uganda Bobi Wine amesema nyumba yake imezingirwa na maafisa wa usalama. Wine alikamatwa katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa...

Tahadhari yatolewa kwa wakazi wa Garissa kuhusiana na El Nino

0
Watu wanaoishi kwenye kingo za mto Tana na maeneo mengine yaliyo chini katika kaunti ya Garissa, wameshauriwa kuhamia nyanda za juu na kuzingatia tahadhari...

Rais Ruto kuanza ziara ya siku nne eneo la Nyanza

0
Rais William Ruto anatarajiwa kuanza ziara ya siku nne ya kimaendeleo katika eneo la Nyanza, kuanzia Ijumaa wiki hii. Huku akiwahimiza wakazi wa eneo hilo...

NCIC yashtumu mapigano katika mpaka wa Kisumu na Kericho

0
Tume ya Kitaifa ya Uwiano na Maridhiano, NCIC imeshtumu vikali mapigano yaliyoshuhudiwa katika mpaka wa kaunti za Kisumu na Kericho.  Watu wanane wameuawa na 18...

Wizara ya Afya kutoa awamu ya pili ya chanjo dhidi ya...

0
Wizara ya Afya inajiandaa kutoa awamu ya pili ya chanjo dhidi ya ugonjwa wa kupooza wa polio kuanzia mwishoni mwa wiki. Kulingana na wizara hiyo,...

Marekani yatoa risasi milioni moja kwa Ukraine

0
Marekani imetuma nchini Ukraine takriban risasi milioni 1.1 zilizonaswa kutoka Iran mwaka jana, jeshi lake limesema. Kamandi Kuu ya Marekani (Centcom), ambayo inasimamia operesheni katika...

Mabalozi hawakusazwa katika mabadiliko ya Baraza la Mawaziri

0
Mabalozi wa Kenya katika mataifa ya nje wamehamishwa katika mabadiliko yaliyofaywa na Rais William Ruto jana Jumatano usiku. Katika uhamisho huo, mabalozi wa kenya katika...

Rais Ruto awahamisha Makatibu wa Wizara

0
Rais William Ruto siku ya  Jumatano alifanya mabadiliko katika Makatibu wa Wizara kwa lengo la kuimarisha utendakazi wa serikali ya Kenya kwanza. Katika mabadiliko hayo,...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS