Tom Mathinji
Lionel Messi ashinda tuzo ya Ballon d’Or
Mshambulizi wa timu ya taifa ya Argentina na klabu ya Inter Miami Lionel Messi, ameshinda kwa mara ya nane tuzo ya wanaume ya Ballon...
Waziri Kindiki ashauriana na maafisa wa usalama Baringo
Waziri wa usalama wa taifa Prof. Kithure Kindiki anaongoza mkutano wa usalama katika eneo la Loruk, eneo bunge la Baringo kaskazini.
Mkutano huo na maafisa...
Kenya kuimarisha hatua za kudhibiti matumizi ya tumbako
Wizara ya afya imejizatiti kuimarisha hatua za kukabili matumizi ya bidhaa za tumbako hapa nchini kwa ajili ya kuboresha afya ya wananchi.
Katibu wa afya...
Rachel Ruto kufanya mazungumzo na Malkia Camilla
Mama taifa Rachel Ruto atafanya mazungumzo na Malkia Camilla wa Uingereza ambaye ameandamana na mume wake Mfalme Charles wa tatu katika ziara rasmi ya...
Mitihani ya KCPE na KPSEA yaingia siku ya pili
Mtihani wa kitaifa wa darasa la nane (KCPE) na tathmini ya gredi ya sita (KPSEA), imeingia siku ya pili leo Jumanne, huku maafisa wakuu...
Mfalme Charles na Malkia Camilla wawasili nchini
Mfalme Charles wa tatu wa Uingereza aliwasili nchini Jumatatu usiku akiwa ameandamana na mkewe Malkia Camilla.
Hii ndio ziara rasmi ya kwanza ya mfalme Charles...
Watu milioni 7 nchini DRC watoroka makazi kutokana na ghasia
Umoja wa Mataifa unasema rekodi ya watu milioni 6.9 sasa ni wakimbizi wa ndani kwa ndani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, kutokana na...
Serikali ya Bavaria yapiga jeki ajenda ya Bottom-Up
Ajenda ya Rais William Ruto ya kuboresha uchumi ya Bottom Up imepigwa jeki, baada ya serikali ya eneo la Bavaria, nchini Ujerumani kuunga mkono...
Duale: Hakuna mianya ya wizi wa mitihani
Waziri wa ulinzi Aden Duale, amesema maadili ya mitihani ya kitaifa ya mwaka huu lazima ilindwe, huku mitihani ya shule za msingi iking'oa nanga...
Serikali kuongeza idadi ya shule za umma kote nchini
Waziri mwenye mamlaka makuu ambaye pia ni waziri wa mambo ya nje Musalia Mudavadi, amesema serikali itaweka mikakati ya kuongeza idadi ya shule za...