Home Authors Posts by Tom Mathinji

Tom Mathinji

Tom Mathinji
1448 POSTS 0 COMMENTS

Wandayi: Ziara ya Rais Ruto Nyanza haitayumbisha ufuasi wa Raila

0
Ziara ya Rais William Ruto katika eneo la Nyanza, haitasababisha wakazi wa eneo hilo kusitisha ufuasi wao kwa Waziri Mkuu wa zamani Raila Odinga,...

Utoaji chanjo dhidi ya Polio wang’oa nanga kote nchini

0
Serikali za kaunti siku ya Jumamosi zilizindua zoezi la utoaji chanjo dhidi ya ugonjwa wa kupooza wa Polio kote nchini. Katika taarifa, wizara ya afya...

Kundi moja la wapiganaji ladai kuwateka nyara wanajeshi wa Israel

0
Kundi la Jihad la Kiislamu (Islamic Jihad) ambalo linaendesha harakati zake Gaza, linadai wapiganaji wake pia wamewakamata wanajeshi kadhaa wa Israeli, Msemaji wake Abu...

Mshukiwa wa biashara haramu ya dhahabu akamatwa

0
Jonathan Okoth Opande almaarufu Okoth Magawi, ametiwa nguvuni kwa madai ya kuwalaghai raia wawili wa Thailand shilingi milioni 13, kupitia biashara haramu ya dhahabu. Kulingana...

Kaunti ya Kericho yapokea vifaa vya matibabu kutoka KEMSA

0
Halmashauri ya kusambaza vifaa vya matibabu nchini (KEMSA), imeanza kusambaza vifaa vya matibabu vya thamani ya shilingi milioni 70 kwa vituo vya matibabu kaunti...

Kesi kuhusu mauaji ya Monica Kimani kuamuliwa Disemba 15

0
Mahakama Kuu imeahirisha kutoa hukumu dhidi ya Joseph Irungu almaarufu Jowie na Jackie Maribe kufuatia mauaji ya mwanabiashara Monica Kimani yaliyotekelezwa mwezi Septemba mwaka...

Rais Ruto atua Nyanza kwa ziara ya kimaendeleo

0
Rais William Ruto leo Ijumaa anaanza ziara ya siku nne katika eneo la Nyanza, ambako atazindua miradi ya maendeleo katika eneo hilo. Kiongozi wa taifa...

Lori la kusafirisha mafuta ya kupika laanguka Gitaru

0
Shughuli za uchukuzi katika barabara kuu ya Nairobi-Nakuru zilitatizwa Ijumaa asubuhi baadaya lori lililokuwa limebaba mafuta ya kupikia kuanguka katika enelo la makutano la...

Serikali kushirikiana na vyuo vikuu kuimarisha sekta ya madini

0
Serikali imetangaza mipango ya kushirikiana na vyuo vikuu na wadau katika sekta ya uchimbaji madini, katika kufanya utafiti kuhusu thamani ya kiuchumi ya madini...

Wanafunzi watano watekwa nyara Nigeria

0
Watu wenye silaha wamewateka nyara wanafunzi watano kaskazini mwa Nigeria, polisi walisema, siku chache baada ya wanafunzi wengine zaidi ya 20 kutekwa nyara katika...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS