Home Authors Posts by Tom Mathinji

Tom Mathinji

Tom Mathinji
1334 POSTS 0 COMMENTS

Umeme warejeshwa eneo la Mlima Kenya

0
Kampuni ya Kenya Power imerejesha umeme Katika eneo la Mlima Kenya kufuatia kupotea kwa umeme katika maeneo mengi ya nchi Ijumaa usiku. Kulingana na taarifa...

Rais Ruto: Kaunti za Kisii na Nyamira kunufaika na masoko mapya

0
Rais William Ruto amesema Kaunti za Kisii na Nyamira zitanufaika na masoko 15 na saba mtawalia, katika juhudi zinazoendelea za kuboresha mazingira ya kazi...

Afueni kwa wakulima wa kahawa baada ya wabunge kuidhinisha mageuzi ya...

0
Wabunge wataharakisha miswada iliyopendekezwa pamoja na mikakati mingine inayolenga kuleta mageuzi katika sekta ndogo ya kahawa. Haya yanajiri baada ya naibu Rais Rigathi Gachagua kuandaa...

Mudavadi ahimiza KRA kuimarisha juhudi za ukusanyaji ushuru

0
Halmashauri ya Ukusanyaji  Ushuru   nchini  (KRA) imehimizwa kuwatia moyo walipa ushuru  kama sehemu ya kuwachochea kutoa ushuru  kwa hiari. Waziri mwenye mamlakaa makuu,  Musalia Mudavadi...

Serikali kuwatuma wakufunzi 1,300 katika taasisi za TVET mwezi Septemba

0
Wizara ya elimu inalenga kuwatuma wakufunzi 1,300 wa taasisi za mafunzo ya kiufundi(TVET) kote nchini mwezi Septemba mwaka huu. Katibu katika idara ya mafunzo ya...

Viongozi wa Baringo waazimia kushirikiana ili kukuza maendeleo

Viongozi kutoka Kaunti ya Baringo wamedhamiria kuzika tofauti zao za kisiasa na kushirikiana wakati huu ambapo serikali inaendeleza kampeni za amani kwenye maeneo ambayo...

Mbunge Njeri Maina aandikisha taarifa kwa polisi

0
Mwakilishi wanawake wa kaunti ya Kirinyaga Njeri Maina ambaye alishambuliwa na wahuni na kupata majeraha ya kichwa, ameandikiaha taarifa kwa maafisa wa upelelezi wa...

Washukiwa wa mauaji ya ajuza kaunti ya Vihiga wakamatwa

0
Washukiwa wawili wa wizi wa kimabavu wanaoaminika kuwa sehemu ya genge lililomuibia, kumbaka na kumuua mwanamke wa umri wa miaka 76 mwezi uliopita  katika...

Ruto: Serikali kubadili jina la Tume ya Kudumu ya Muziki ya...

0
Rais William Ruto amedokeza kuwa serikali ina mipango ya kubadilisha jina la Tume ya Kudumu ya Muziki ya Rais (PPMC). Akizungumza Jumatano wakati wa tamasha...

Serikali kurejelea ujenzi wa barabara ya Mau Mau

0
Wakazi wa eneo bunge la Lari, wamepongeza hatua ya serikali ya kurejelea ujenzi wa barabara ya kilomita 80 ya Mau Mau. Ujenzi wa barabara hiyo...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS