Tom Mathinji
Wakaribisheni wanaoachiliwa kutoka gerezani, asema Salome
Wakenya wamehimizwa kuwakumbatia wafungwa katika jamii, wanapokamilisha muda wa kifungo chao.
Waadau katika idara ya urekebishaji tabia, walidokeza kuwa baadhi ya wanaokamilisha kifungo, hukamatwa na...
Wazazi wawaondoa wanafunzi katika shule ya wasichana ya Eregi
Wazazi wamewaondoa watoto wao katika shule ya wasichana ya Eregi iliyoko kaunti ya Kakamega, baada ya shule hiyo kuathiriwa na ugonjwa usiofahamika siku ya...
Raymond Omollo aridhishwa na maandalizi ya sherehe za Mashujaa
Katibu katika wizara ya usalama wa taifa Dkt. Raymond Omollo, amesema serikali imeridhishwa na ukarabati wa uwanja wa Kericho Green, utakaotumika kuandaa sherehe za...
Gavana wa Nyamira aponea hoja ya kumbandua mamlakani
Ni afueni kwa Gavana wa Nyamira Amos Nyaribo, baada ya hoja ya kumuondoa mamlakani iliyowasilishwa katika bunge la kaunti hiyo kupata kura chache, katika...
Maafisa wa DCI wanasa mihadarati katika uwanja wa ndege wa JKIA
Maafisa wa polisi kutoka kitengo cha DCI wamenasa mihadarati aina ya methamphetamine, katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta.
Kulingana na DCI, mihadarati...
Wafuasi wawili wa Alshabab wafariki wakitega vilipuzi barabarani
Washukiwa wawili wa kundi la wanamgambo wa Al-Shabab, walifariki baada ya kulipuka kwa kilipuzi cha kutegwa ardhini katika kaunti ya Garissa.
Kulingana na taarifa ya...
Kevin McCarthy atimuliwa wadhifa wa Spika wa Marekani
Kevin McCarthy amefukuzwa katika uasi wa mrengo wa kulia - mara ya kwanza kabisa kwa Spika wa Baraza la Wawakilishi la Marekani kupoteza kura...
Rais Ruto apongeza idhini ya UNSC ya kupelekwa kwa polisi Haiti
Rais William Ruto amepongeza hatua ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, UNSC ya kuidhinisha kupelekwa kwa kikosi cha kimataifa cha maafisa wa...
Amos Wako: Ipo haja ya kuzifanyia marekebisho sheria za uchaguzi
Aliyekuwa Mwanasheria Mkuu Amos Wako amesema wakati umewadia kwa bunge la kitaifa kufanyia marekebisho sheria za uchaguzi ili kuwezesha seva kuwa wazi kwa Wakenya...
Kaunti ya Kajiado yapokea ambulensi za pikipiki
Ni afueni kwa kina mama wajawazito katika sehemu za mashambani kaunti ya Kajiado, kwani watapokea huduma za matibabu kwa urahisi baada ya kuanzishwa kwa...