Tom Mathinji
Ruto: Serikali kubadili jina la Tume ya Kudumu ya Muziki ya...
Rais William Ruto amedokeza kuwa serikali ina mipango ya kubadilisha jina la Tume ya Kudumu ya Muziki ya Rais (PPMC).
Akizungumza Jumatano wakati wa tamasha...
Serikali kurejelea ujenzi wa barabara ya Mau Mau
Wakazi wa eneo bunge la Lari, wamepongeza hatua ya serikali ya kurejelea ujenzi wa barabara ya kilomita 80 ya Mau Mau.
Ujenzi wa barabara hiyo...
Aliyekuwa Gavana wa Kakamega Wycliffe Oparanya akamatwa
Aliyekuwa gavana wa kaunti ya Kakamega Wycliffe Oparanya na wake zake wawili, wametiwa nguvuni na maafisa wa tume ya maadili na kupambana na ufisadi...
Israel kupiga jeki kilimo cha maparachichi hapa nchini
Kilimo cha maparachichi kimepigwa jeki, baada ya mwekezaji mmoja kutoka Israel kuanzisha ukuzaji wa zao hilo katika shamba la ekari 400 eneo la Naivasha.
Shamba...
‘Mathe wa Ngara’ Nancy Kigunzu kuzuiliwa kwa siku tano zaidi
Mfanyabiashara Nancy Kigunzu Indoveria almaarufu ‘Mathe wa Ngara’ aliyekamatwa siku ya Jumatatu kwa tuhuma za ulanguzi wa dawa za kulevya, amefikishwa mahakamani leo Jumatano.
Hakimu...
Wabunge wakashifu shambulizi dhidi ya mbunge wa kaunti ya Kirinyaga Njeri...
Wabunge siku ya Jumatano, wamekashifu vikali kisa cha kushambuliwa kwa mwakilishi wanawake wa kaunti ya Kirinyaga Jane Njeri Maina.
Maina, ambaye alikuwa akitembea kwa miguu...
Raia nchini Zimbabwe washiriki uchaguzi mkuu
Raia nchini Zimbabwe wanashiriki Uchaguzi Mkuu wakati ambapo taifa hilo linakabiliwa na mfumko wa bei.
Siku hii imetangazwa kuwa siku ya mapumziko ili kuwaruhusu wapiga...
Jamii ya Maa yapongezwa kwa kudumisha utamaduni
Rais William Ruto ameipongeza jamii ya wamaasai kwa kujitolea kudumisha utamaduni wao pamoja na mazingira.
Akiongea Jumanne alipofungua rasmi tamasha la kitamaduni la jamii...
Dorcas Rigathi: Ipo haja ya kuangazia haki za mtoto wa kiume
Mke wa naibu rais mhubiri Dorcas Rigathi ametoa wito kwa viongozi wakiwemo wale wa kidini kuangazia maslahi ya mtoto wa kiume na vijana.
Dorcas...
Polisi wamuua mshukiwa wa mauaji ya afisa wa polisi David Mayaka
Mmoja wa washukiwa anayehusishwa na mauaji ya afisa wa polisi wa kitengo cha DCI David Mayaka ameuawa kwa kupigiwa risasi katika mtaa wa Kayole...