Tom Mathinji
Kenya kupokea kiwango kikubwa cha mvua za vuli
Nchi hii inatarajiwa kupata kiasi kikubwa cha mvua wakati wa msimu wa mvua za vuli, kuanzia mwezi Oktoba hadi Disemba.
Mkurugenzi wa Idara ya...
Bunge la Seneti laidhinisha kubuniwa kwa kamati ya mazungumzo ya pande...
Bunge la Seneti limeidhinisha hoja ya kubuniwa kwa kamati ya mazungumuzo ya kitaifa ya mazungumzo, kutoa fursa ya mazungumzo kati ya mirengo ya Kenya...
Serikali kuboresha maabara ya uchunguzi wa kifua kikuu
Wizara ya Afya pamoja na washirika wa kimaendeleo inatekeleza mipango ya kuboresha maabara ya uchunguzi wa ugonjwa wa kifua kikuu.
Mradi huo unalenga kubadilisha maabara...
Rais Ruto aandaa mkutano wa Baraza la Mawaziri kaunti ya Kakamega
Rais William Ruto leo Jumanne asubuhi ameandaa mkutano wa Baraza la Mawaziri katika Ikulu Ndogo, kaunti ya Kakamega.
Baada ya mkutano huo, kiongozi wa taifa...
Afisa wa zamani wa KDF ashtakiwa kwa kuchapisha habari za kupotosha
Afisa mmoja wa zamani wa vikosi vya ulinzi vya Kenya (KDF), siku ya Jumatatu alifikishwa katika mahakama ya milimani akikabiliwa na mashtaka matano ya...
Serikali kujenga kiwanda cha maziwa kaunti ya Narok
Serikali kupitia kwa kampuni ya new KCC, itajenga kiwanda cha maziwa kwa gharama ya shillingi million 750 katika kaunti ya Narok, ili kuimarisha utoaji...
Mkurugenzi Mkuu wa halmashauri ya KAA atimuliwa
Serikali imesitisha kandarasi ya mkurugenzi mkuu wa halmashauri ya viwanja vya ndege nchini, Alex Gitari.
Hii ni kufuatia kukatizwa kwa nguvu za umeme katika...
Ugavi wa mapato ya mbuga za wanyapori na serikali za kaunti...
Muungano wa wataalamu wa uhifadhi wa wanyamapori, umelipokea vyema agizo la Rais William Ruto, kuhusiana na ugavi wa mapato yanayotoka kwenye mbuga za wanyamapori...
Safari za ndege za uchukuzi wa mizigo zarejelea katika uwanja wa...
Safari za ndege za uchukuzi wa shehena hadi kwenye uwanja wa ndege wa Eldoret, zimerejelewa huku mawaziri wawili wakitoa hakikisho kwamba serikali inaratibu mikakati...
Huduma za kupachika Figo kupatikana katika hospitali ya chuo Kikuyu Cha...
Hospitali ya rufaa ya chuo kikuu cha Kenyatta inaweka mikakati ya kuzindua huduma za upasuaji wa kupachika figo.
Hatua hiyo inalenga kuwaokolea wakenya mamilioni ya...