Tom Mathinji
Tahadhari yatolewa kwa wakazi wa Garissa kuhusiana na El Nino
Watu wanaoishi kwenye kingo za mto Tana na maeneo mengine yaliyo chini katika kaunti ya Garissa, wameshauriwa kuhamia nyanda za juu na kuzingatia tahadhari...
Rais Ruto kuanza ziara ya siku nne eneo la Nyanza
Rais William Ruto anatarajiwa kuanza ziara ya siku nne ya kimaendeleo katika eneo la Nyanza, kuanzia Ijumaa wiki hii.
Huku akiwahimiza wakazi wa eneo hilo...
NCIC yashtumu mapigano katika mpaka wa Kisumu na Kericho
Tume ya Kitaifa ya Uwiano na Maridhiano, NCIC imeshtumu vikali mapigano yaliyoshuhudiwa katika mpaka wa kaunti za Kisumu na Kericho.
Watu wanane wameuawa na 18...
Wizara ya Afya kutoa awamu ya pili ya chanjo dhidi ya...
Wizara ya Afya inajiandaa kutoa awamu ya pili ya chanjo dhidi ya ugonjwa wa kupooza wa polio kuanzia mwishoni mwa wiki.
Kulingana na wizara hiyo,...
Marekani yatoa risasi milioni moja kwa Ukraine
Marekani imetuma nchini Ukraine takriban risasi milioni 1.1 zilizonaswa kutoka Iran mwaka jana, jeshi lake limesema.
Kamandi Kuu ya Marekani (Centcom), ambayo inasimamia operesheni katika...
Mabalozi hawakusazwa katika mabadiliko ya Baraza la Mawaziri
Mabalozi wa Kenya katika mataifa ya nje wamehamishwa katika mabadiliko yaliyofaywa na Rais William Ruto jana Jumatano usiku.
Katika uhamisho huo, mabalozi wa kenya katika...
Rais Ruto awahamisha Makatibu wa Wizara
Rais William Ruto siku ya Jumatano alifanya mabadiliko katika Makatibu wa Wizara kwa lengo la kuimarisha utendakazi wa serikali ya Kenya kwanza.
Katika mabadiliko hayo,...
Watu watatu wafariki baada ya ghasia kuzuka katika mpaka wa Kisumu-Kericho
Watu watatu wameuawa baada ya kuzuka upya kwa mapigano kati ya jamii zinazoishi katika mpaka wa kaunti za Kisumu na Kericho.
Watu wengine kadhaa walijeruhiwa...
Wakaribisheni wanaoachiliwa kutoka gerezani, asema Salome
Wakenya wamehimizwa kuwakumbatia wafungwa katika jamii, wanapokamilisha muda wa kifungo chao.
Waadau katika idara ya urekebishaji tabia, walidokeza kuwa baadhi ya wanaokamilisha kifungo, hukamatwa na...
Wazazi wawaondoa wanafunzi katika shule ya wasichana ya Eregi
Wazazi wamewaondoa watoto wao katika shule ya wasichana ya Eregi iliyoko kaunti ya Kakamega, baada ya shule hiyo kuathiriwa na ugonjwa usiofahamika siku ya...