Tom Mathinji
Safari za ndege za uchukuzi wa mizigo zarejelea katika uwanja wa...
Safari za ndege za uchukuzi wa shehena hadi kwenye uwanja wa ndege wa Eldoret, zimerejelewa huku mawaziri wawili wakitoa hakikisho kwamba serikali inaratibu mikakati...
Huduma za kupachika Figo kupatikana katika hospitali ya chuo Kikuyu Cha...
Hospitali ya rufaa ya chuo kikuu cha Kenyatta inaweka mikakati ya kuzindua huduma za upasuaji wa kupachika figo.
Hatua hiyo inalenga kuwaokolea wakenya mamilioni ya...
Umeme warejeshwa eneo la Mlima Kenya
Kampuni ya Kenya Power imerejesha umeme Katika eneo la Mlima Kenya kufuatia kupotea kwa umeme katika maeneo mengi ya nchi Ijumaa usiku.
Kulingana na taarifa...
Rais Ruto: Kaunti za Kisii na Nyamira kunufaika na masoko mapya
Rais William Ruto amesema Kaunti za Kisii na Nyamira zitanufaika na masoko 15 na saba mtawalia, katika juhudi zinazoendelea za kuboresha mazingira ya kazi...
Afueni kwa wakulima wa kahawa baada ya wabunge kuidhinisha mageuzi ya...
Wabunge wataharakisha miswada iliyopendekezwa pamoja na mikakati mingine inayolenga kuleta mageuzi katika sekta ndogo ya kahawa.
Haya yanajiri baada ya naibu Rais Rigathi Gachagua kuandaa...
Mudavadi ahimiza KRA kuimarisha juhudi za ukusanyaji ushuru
Halmashauri ya Ukusanyaji Ushuru nchini (KRA) imehimizwa kuwatia moyo walipa ushuru kama sehemu ya kuwachochea kutoa ushuru kwa hiari.
Waziri mwenye mamlakaa makuu, Musalia Mudavadi...
Serikali kuwatuma wakufunzi 1,300 katika taasisi za TVET mwezi Septemba
Wizara ya elimu inalenga kuwatuma wakufunzi 1,300 wa taasisi za mafunzo ya kiufundi(TVET) kote nchini mwezi Septemba mwaka huu.
Katibu katika idara ya mafunzo ya...
Viongozi wa Baringo waazimia kushirikiana ili kukuza maendeleo
Viongozi kutoka Kaunti ya Baringo wamedhamiria kuzika tofauti zao za kisiasa na kushirikiana wakati huu ambapo serikali inaendeleza kampeni za amani kwenye maeneo ambayo...
Mbunge Njeri Maina aandikisha taarifa kwa polisi
Mwakilishi wanawake wa kaunti ya Kirinyaga Njeri Maina ambaye alishambuliwa na wahuni na kupata majeraha ya kichwa, ameandikiaha taarifa kwa maafisa wa upelelezi wa...
Washukiwa wa mauaji ya ajuza kaunti ya Vihiga wakamatwa
Washukiwa wawili wa wizi wa kimabavu wanaoaminika kuwa sehemu ya genge lililomuibia, kumbaka na kumuua mwanamke wa umri wa miaka 76 mwezi uliopita katika...