Tom Mathinji
Rais Ruto afanya ziara rasmi nchini Marekani
Rais William Ruto aliondoka hapa nchini Jumatano jioni kuelekea nchini Marekani, kwa ziara rasmi ya kiserikali.
Kupitia kwa taarifa iliyotolewa na msemaji wa Ikulu Hussein...
Inspekta Mkuu wa Polisi akutana na mtaalamu wa uchukuzi wa Benki...
Inspekta Mkuu wa Polisi Japhet Koome siku ya Jumatano alikutana na mtaalamu wa uchukuzi kutoka Benki ya Dunia katika makao makuu ya polisi jijini...
Rais Ruto akutana na wabunge waliofurushwa na chama cha ODM
Siku moja baada ya chama cha ODM kuwatimua baadhi ya wabunge wake wanaoshtumiwa kuegemea upande wa serikali, Rais William alishiriki meza ya mazungumzo na...
Viongozi waonywa dhidi ya kuingiza siasa katika maswala ya usalama
Waziri wa usalama wa kitaifa Prof. Kithure Kindiki amewaonya viongozi waliochaguliwa dhidi ya kuingiza siasa katika maswala ya usalama wa taifa.
Huku akiwapongeza maafisa wa...
Kenya na Colombia zatia saini mkataba wa ushirikiano
Kenya imetia saini mkataba maalum wa pamoja wa ushirikiano na Colombia jijini Bogota, katika juhudi za kuboresha uhusiano baina ya mataifa haya mawili.
Kutiwa...
KMPDU: Madaktari zaidi ya 4,000 hawana ajira nchini
Chama cha Madaktari, wataalam wa dawa na meno, KMPDU kimesema kuwa zaidi ya madaktari 4,000 hapa nchini hawana ajira, ikizingatiwa upungufu wa madaktari unaoshuhudiwa...
Serikali kutumia shilingi bilioni 2.3 kwa ujenzi wa vituo vya afya...
Serikali ya kitaifa itatumia kitita cha shilingi bilioni 2.3 katika kupandisha ngazi vituo vya afya hadi kiwango cha level 3, hayo ni kwa mujibu...
Kindiki: Maelfu ya pasipoti hazijachukuliwa katika afisi za uhamiaji
Waziri wa usalama wa kitaifa Prof. Kithure Kindiki, amesema serikali itazindua mchakato wa kitaifa Jumatano wiki ijayo, kuhakikisha Pasipoti zilizoko katika afisi za uhamiaji...
Gavana wa Kitui aunga mkono kubuniwa kwa kaunti mpya
Huku mjadala ukiendelea miongoni mwa wakenya kuhusu kubuniwa kwa kaunti tano mpya, Gavana wa kaunti ya Kitui Julius Malombe, ameunga mkono pendekezo hilo, ambapo...
Dorcas Rigathi: Ni jukumu la kila mtu kufanya maamuzi sahihi
Mkewe naibu Rais mchungaji Dorcas Rigathi, amefungua kambi ya siku mbili ya matibabu inayolenga waraibu wa pombe na mihadarati katika eneo la Shimanzi, kaunti...