Tom Mathinji
Wakuzaji kahawa wa Colombia wahimizwa kushirikiana na Kenya
Naibu Rais Rigathi Gachagua ametoa wito kwa wakulima wa kahawa wa Colombia, kushirikiana na Kenya kwa lengo la kuboresha biashara ya kahawa hapa nchini.
Akizungumza...
Charles Keter ateuliwa kuwa mshauri wa Rais
Aliyekuwa waziri Charles Keter amemshukuru Rais William Ruto kwa kumteua kuwa mshauri wake wa maswala ya maziwa makuu.
Keter ambaye aliwania wadhifa wa ugavana wa...
Makatibu wa wizara wahimizwa kutumia rasilimali za umma kwa uadilifu
Mkuu wa utumishi wa umma siku ya Alhamisi alikutana na makatibu 38 wa wizara katika ukumbi wa Bomas, kujadili utekelezaji kikamilifu wa bajeti ya...
Hunter Biden afunguliwa mashtaka ya kumiliki bunduki kinyume cha sheria
Hunter Biden, mwana wa kiume wa Rais wa Marekani Joe Biden jana Alhamisi alifunguliwa mashtaka, akituhumiwa kununua bunduki katika muda aliokiri kutumia dawa za...
Waziri Kindiki awahimiza wakazi wa Lamu kuishi kwa amani
Waziri wa usalama wa taifa Prof. Kithure Kindiki, ametoa wito kwa wakazi wa kaunti ya Lamu kukumbatia amani na kukataa juhudi zozote za kukuza...
Mwanafunzi ajitoa uhai kaunti ndogo ya Rachuonyo
Hali ya huzuni imetanda katika kijiji cha Ogenga kaunti ndogo ya Rachuonyo, kaunti ya Homa Bay baada ya mwanafunzi wa darasa la nane katika...
Mjumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan ajiuzulu
Mjumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Volker Perthes amejiuzulu miezi minne baada ya kuombwa na serikali hiyo kuondoka.
Kwenye hotuba yake ya mwisho, Perthers...
Kenya na Italia zaimarisha ushirikiano katika sekta ya afya
Kenya na Italia zimeazimia kuendeleza mazungumzo kuhusu mkataba wa maelewano kwa lengo la kuimarisha sekta ya afya.
Wakati wa mkutano, katibu katika wizara ya afya...
KCAA yakanusha madai kwamba huenda ndege ya KQ ingehusika katika ajali
Halmashauri ya kusimamia safari za ndege hapa nchini (KCAA), imepuuzilia mbali madai kwamba ndege moja ya shirika la ndege la Kenya Airways huenda ingehusika...
Koskei: Kenya imejitolea kukabiliana na ufisadi
Mkuu wa utumishi wa umma, Felix Koskei, amesema kwamba, serikali imejitolea kikamilifu kukabiliana na ufisadi.
Koskei alisema kuwa uungwaji mkono wa kisiasa uliokuwa ukikosekana...