Tom Mathinji
Mudavadi akabidhiwa rasmi Wizara ya Mambo ya Nje
Musalia Mudavadi amekabidhiwa rasmi Wizara ya Mambo ya Nje.
Mudavadi ambaye pia ni Waziri mwenye Mamlaka Makuu alikabidhiwa wizara hiyo na mtangulizi wake Dkt....
Shehena ya kwanza ya mbolea ya NPK yawasili nchini
Halmashauri ya Ustawishaji Majani Chai Nchini, KTDA, imeagiza tani 92,737 za mbolea itakayouzwa kwa wakulima wa mashamba madogo ya majani chai.
Mbolea hiyo aina ya...
Jeshi la Uganda lashambuliwa nchini DRC
Vikosi vya ulinzi vya Uganda siku ya Jumatatu, vilishambuliwa na wapiganaji wasiojulika, katika Jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo.
Vikosi hivyo ambavyo ni sehemu ya vikosi...
Katibu Mang’eni anusurika kwenye ajali Busia
Katibu katika Idara ya Biashara Ndogo na za Kati (MSMES) Susan Mang’eni, jana Jumatatu alihusika katika ajali ya barabarani katika barabara kuu ya Nambale-Korinda.
Ajali...
Mswada wa kumtimua Gavana Mwangaza kuwasilishwa Jumanne
Kwa mara nyingine, Gavana wa kaunti ya Meru Kawira Mwangaza yupo mashakani.
Awali, alinusurika makali ya Wawakilishi Wadi kumtimua afisini baada ya bunge la...
Rais Biden kuzuru Israel Jumatano
Rais wa Marekani Joe Biden atazuru Israel siku ya Jumatano, waziri wa mambo ya nje wa Marekani Antony Blinken ametangaza kutoka Israel.
Tangazo kwamba Rais...
Maafisa wa DCI wanasa Pombe bandia Nairobi
Maafisa wa polisi wamenasa pombe bandia na mihuri ghushi ya halmashauri ya ukusanyaji ushuru nchini KRA, katika maeneo ya Kahawa Sukari na Kamulu Jijini...
Gachagua: Taasisi za kiufundi zitatoa fursa za ajira
Naibu Rais Rigathi Gachagua anasema serikali inashirikiana na wabunge, magavana na viongozi wengine katika kuboresha taasisi za elimu ya juu ili kutekeleza majukumu yao...
Wanafunzi wa utabibu wa chuo cha KU kunoa makali yao katika...
Awamu ya kwanza ya wanafunzi mia moja wa chuo kikuu cha Kenyatta wanaosomea taaluma ya matibabu, watapata fursa ya kutumia vifaa vya hospitali maalum...
Ardhi ya serikali iliyonyakuliwa Laikipia kutwaliwa
Serikali imeanzisha mchakato wa kutwaa ardhi yake iliyonyakuliwa na wastawishaji wa kibinafsi katika kaunti ya Laikipia.
Naibu kamishna wa kaunti ndogo ya Laikipia Mashariki Patrick...