Home Authors Posts by Tom Mathinji

Tom Mathinji

Tom Mathinji
1335 POSTS 0 COMMENTS

Rais Ruto awasili San Fransisco, Marekani kwa mkutano wa uwekezaji

0
Rais William Ruto amewasili katika mji wa San Fransisco ambako atahudhuria mkutano wa uwekezaji na viongozi wa kampuni za kiteknolojia nchini Marekani. Miongoni mwa maafisa...

Wakuzaji kahawa wa Colombia wahimizwa kushirikiana na Kenya

0
Naibu Rais Rigathi Gachagua ametoa wito kwa wakulima wa kahawa wa Colombia, kushirikiana na Kenya kwa lengo la kuboresha biashara ya kahawa hapa nchini. Akizungumza...

Charles Keter ateuliwa kuwa mshauri wa Rais

0
Aliyekuwa waziri Charles Keter  amemshukuru Rais William Ruto kwa kumteua kuwa mshauri wake wa maswala ya maziwa makuu. Keter ambaye aliwania wadhifa wa ugavana wa...

Makatibu wa wizara wahimizwa kutumia rasilimali za umma kwa uadilifu

0
Mkuu wa utumishi wa umma siku ya Alhamisi alikutana na makatibu 38 wa wizara katika ukumbi wa Bomas, kujadili utekelezaji kikamilifu wa bajeti ya...

Hunter Biden afunguliwa mashtaka ya kumiliki bunduki kinyume cha sheria

0
Hunter Biden, mwana wa kiume wa Rais wa Marekani Joe Biden jana Alhamisi alifunguliwa mashtaka, akituhumiwa kununua bunduki katika muda aliokiri kutumia dawa za...

Waziri Kindiki awahimiza wakazi wa Lamu kuishi kwa amani

0
Waziri wa usalama wa taifa Prof. Kithure Kindiki, ametoa wito kwa wakazi wa kaunti ya Lamu kukumbatia amani na kukataa juhudi zozote za kukuza...

Mwanafunzi ajitoa uhai kaunti ndogo ya Rachuonyo

0
Hali ya huzuni imetanda katika kijiji cha Ogenga kaunti ndogo ya Rachuonyo, kaunti ya Homa Bay baada ya mwanafunzi wa darasa la nane katika...

Mjumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan ajiuzulu

0
Mjumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Volker Perthes amejiuzulu miezi minne baada ya kuombwa na serikali hiyo kuondoka. Kwenye hotuba yake ya mwisho, Perthers...

Kenya na Italia zaimarisha ushirikiano katika sekta ya afya

0
Kenya na Italia zimeazimia kuendeleza mazungumzo kuhusu mkataba wa maelewano kwa lengo la kuimarisha sekta ya afya. Wakati wa mkutano, katibu katika wizara ya afya...

KCAA yakanusha madai kwamba huenda ndege ya KQ ingehusika katika ajali

0
Halmashauri ya kusimamia safari za ndege hapa nchini (KCAA), imepuuzilia mbali madai kwamba ndege moja ya shirika la ndege la Kenya Airways huenda ingehusika...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS