Home Authors Posts by Tom Mathinji

Tom Mathinji

Tom Mathinji
1448 POSTS 0 COMMENTS

Maafisa wa DCI wanasa Pombe bandia Nairobi

0
Maafisa wa polisi wamenasa pombe bandia na mihuri ghushi ya halmashauri ya ukusanyaji ushuru nchini KRA, katika maeneo ya Kahawa Sukari na Kamulu Jijini...

Gachagua: Taasisi za kiufundi zitatoa fursa za ajira

0
Naibu Rais Rigathi Gachagua anasema serikali inashirikiana na wabunge, magavana na viongozi wengine katika kuboresha taasisi za elimu ya juu ili kutekeleza majukumu yao...

Wanafunzi wa utabibu wa chuo cha KU kunoa makali yao katika...

0
Awamu ya kwanza ya wanafunzi mia moja wa chuo kikuu cha Kenyatta wanaosomea taaluma ya matibabu, watapata fursa ya kutumia vifaa vya hospitali maalum...

Ardhi ya serikali iliyonyakuliwa Laikipia kutwaliwa

0
Serikali imeanzisha mchakato wa kutwaa ardhi yake iliyonyakuliwa na wastawishaji wa kibinafsi katika kaunti ya Laikipia. Naibu kamishna wa kaunti ndogo ya Laikipia Mashariki Patrick...

Ugonjwa wa kipindupindu wazuka kaunti ya Garissa

0
Visa vipya vya ugonjwa wa kipindupindu, vimeripotiwa katika kambi ya wakimbizinya Dadaa, kaunti ya Garissa. Kulingana na idara ya afya ya kaunti hiyo, visa sita...

Miili ya raia wa Israel yapatikana Gaza

0
Miili ya baadhi ya raia wa Israel walionaswa na Hamas wakati wa shambulizi wiki moja iliyopita, imepatikana na jeshi la Israel wakati wa shambulio...

Washukiwa wa wizi wa simu wakamatwa Nairobi

0
Washukiwa wanne wanaohusishwa na msururu wa visa vya wizi wa simu za rununu jijni Nairobi, walikamatwa na maafisa wa polisi siku ya Ijumaa. Malumasi Aisha...

Siku ya vikosi vya ulinzi KDF kuadhimishwa Jumamosi

0
Sherehe za kuadhimisha siku ya Vikosi vya ulinzi hapa nchini KDF, zitaandaliwa Jumamosi tarehe 14 mwezi Oktoba mwaka huu. Siku ya KDF huandaliwa kila mwaka,...

Mhubiri afungwa miaka 38 gerezani

0
Mhubiri  wa umri wa miaka 27 ambaye aliwadhulumu kimapenzi wanafunzi wawili wa shule ya msingi katika visa tofauti, amehukumiwa kifungo cha miaka 38 gerezani. Katika...

KEMSA yaagizwa kununua bidhaa zilizotengenezewa hapa nchini

0
Halmashauri ya usambazaji dawa na vifaa vya matibabu hapa nchini( KEMSA), imeagizwa kununua bidhaa za matibabu zinazotengenezewa hapa nchini. Akitoa agizo hilo, Rais William Ruto...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS