Tom Mathinji
Maafisa wa polisi wakamatwa wakipokea hongo
Maafisa wanne wa polisi wa trafiki siku ya Jumanne walikamatwa wakipokea hongo katika barabara kuu ya Thika-Garissa.
Wanne hao Deborah Ngila Rosemary Nyokabi, Robert Kabiru...
Wachimba migodi wawili wafariki Kakamega
Wachimba migodi wawili wa umri wa makamo wameripotiwa kufariki baada ya kuta za mgodi walimokuwa wakichimba kuporomika na kuwaangukia katika eneo la Ikolomani, kaunti...
Kikosi cha Afrika Mashariki chatakiwa kuondoka DRC
Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC imesema kikosi cha kulinda amani cha mataifa ya Afrika Mashariki kimeshindwa kukomesha ghasia nchini humo na...
Ndege ya Kenya Airways yatua kwa dharura
Ndege moja ya shirika la ndege la Kenya Airways, KQ iliyokuwa ikielekea Uingereza kutoka jijini Nairobi, ilitua kwa dharura katika Uwanja wa Ndege wa...
KNCHR yataka bajeti ya kushughulikia afya ya akili kuongezwa
Tume ya Kitaifa ya Kutetea Haki za Binadamu Nchini Kenya, KNCHR imetoa wito kwa wananchi kuendelea kutoa uhamasisho pamoja na mikakati ya kulinda na...
Rais Biden ahojiwa kuhusu nyaraka za siri
Rais Joe Biden wa Marekani amehojiwa ikiwa ni sehemu ya uchunguzi huru kuhusu jinsi alivyoshughulikia nyaraka za siri, Ikulu ya Marekani imesema.
Msemaji wa ikulu...
Kenya yaadhimisha siku ya Utamaduni
Rais William Ruto leo Jumanne ataongoza Wakenya kusherehekea siku kuu ya kitaifa ya Utamaduni katika ukumbi wa Bomas jijini Nairobi.
Kauli mbiu ya sherehe hiyo...
Raia wawili wa kigeni wakamatwa na pembe za ndovu
Raia wa Indonesia amekamatwa akiwa na kilo 38.4 ya pembe za ndovu za thamani ya shilingi milioni kumi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa...
Marekani yatuma zana za vita nchini Israel
Marekani imeanza kutuma silaha na zana za kijeshi kwa Israel na inahamisha meli za kivita za jeshi la wanamaji na ndege za kivita, katika...
Gachagua kushawishi upinzani kutoka Mlima Kenya kujiunga na serikali
Naibu Rais Rigathi Gachagua amesema ataanzisha juhudi za kuwashawishi viongozi wa muungano wa Azimio la Umoja katika eneo la mlima Kenya kujiunga na upande...