Tom Mathinji
Maafisa wa KDF wahusika katika ajali ya ndege
Maafisa kadhaa wa vikosi vya ulinzi vya Kenya KDF, waliokuwa wakipiga doria katika msitu wa Boni, wanahofiwa kufariki baada ya ndege walimokuwa wakisafiria kuanguka.
Kulingana...
Serikali yazindua huduma za mtandao kwenye kaunti ndogo
Wizara ya habari,mawasiliano na uchumi wa kidijitali kwa ushirikiano na serikali ya Ubelgiji, imezindua huduma za mtandao kwenye kaunti ndogo humu nchini.
Kupitia mradi...
Iran na Marekani zabadilishana wafungwa
Raia watano wa Marekani ambao walikuwa wamefungwa kwa miaka kadhaa nchini Iran, waliachiliwa huru kufuatia makubaliano ya mabadilishano ya wafungua yaliyoibua utata na ambayo...
Rais Ruto awakaribisha wawekezaji wa Marekani nchini Kenya
Rais William Ruto amealika kampuni za Marekani za teknolojia kuanzisha shughuli za uzalishaji bidhaa na kufungua afisi za kanda nchini Kenya.
Rais alisema Kenya...
Maafisa wa EACC wamkamata mshukiwa anayeuza barua bandia za kujiunga na...
Maafisa wa tume ya maadili na vita dhidi ya ufisadi EACC, wamemkamata mwanamume anayedaiwa kuuzia umma barua bandia za kujiunga na vikosi vya ulinzi...
Rais Ruto: Kenya ina mazingira bora kwa uwekezaji wa kimataifa
Rais William Ruto amesema Kenya imejitolea kuvutia uwekezaji wa kigeni wa hali ya juu humu nchini.
Kiongozi wa taifa alidokeza kuwa serikali inafanya marekebisho yatakayoibadili...
Kindiki: Serikali itakabiliana vilivyo na wezi wa mifugo
Waziri wa usalama wa taifa Prof. Kithure Kindiki, amezindua kambi ya kitengo cha maafisa wa polisi wa kukabiliana na wezi wa mifugo katika eneo...
Rachel Ruto: Kilimo na biashara zitabadilisha uchumi wa Kenya
Mama taifa Rachel Ruto, amesema uwekezaji katika sekta za kilimo na biashara ni nguzo muhimu katika kukuza ajenda ya mabadiliko ya Kenya.
Akihutubia kikao...
Raia wa Poland akamatwa na mihadarati katika uwanja wa ndege wa...
Maafisa wa polisi wa kukabiliana na mihadarati, wamemkamata raia wa Poland anayeshukiwa kuwa mlanguzi wa dawa za kulevya.
Arkadiusz Stanislaw mwenye umri wa miaka 37,...
Rais Ruto awasili San Fransisco, Marekani kwa mkutano wa uwekezaji
Rais William Ruto amewasili katika mji wa San Fransisco ambako atahudhuria mkutano wa uwekezaji na viongozi wa kampuni za kiteknolojia nchini Marekani.
Miongoni mwa maafisa...