Tom Mathinji
Mhubiri Mackenzie kuzuiliwa kwa siku saba zaidi
Mhubiri Paul Mackenzie wa kanisa la Good News International na washtakiwa wenzake 29 wataendelea kuzuiliwa kwa siku saba zaidi, kusubiri uamuzi wa ombi lililowasilishwa...
Murkomen: Upanuzi wa uwanja wa ndege wa Kerenga utaimarisha uchumi
Waziri wa Barabara na Uchukuzi Kipchumba Murkomen, amepongeza ukarabati uanoendelea wa kupanua uwanja wa ndege wa Kerenga katika kaunti ya Kericho, akisema utakamilika kabla...
Ndege ya Kenya Airways yalazimishwa kutua Uingereza
Ndege ya shirika la Kenya Airways iliyokuwa ikelekea katika uwanja wa kimataifa ya Hethrow Jijini London Uingereza, ilielekezwa katika uwanja wa ndege wa Stansted,...
Rais Ruto: Polisi wa akiba zaidi watapelekwa Turkana
Rais William Ruto amesema Serikali inaimarisha operesheni za usalama katika kaunti ya Turkana na viunga vyake ili kukabiliana na wizi wa mifugo.
Rais alisema Serikali...
Serikali kuimarisha usalama katika mipaka ya taifa hili
Serikali inajizatiti kuimarisha usalama katika mipaka ya taifa hili, kwa kutambua sehemu za kuingia na kuondoka katika sehemu mbali mbali za nchi.
Katibu katika wizara...
Radi yasababisha kifo kaunti ya Narok
Mtu mmoja amefariki huku mwingine akijeruhiwa baada ya kupigwa na radi katika soko la Triangle lililoko karibu na msitu wa Mau, kaunti ndogo ya...
Aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu ya Burundi akamatwa
Gavana wa benki kuu ya Burundi aliyefutwa kazi hivi majuzi amekamatwa kwa tuhuma za ufisadi.
Dieudonné Murengerantwari ameshutumiwa na wizara ya sheria kwa "kuhujumu utendakazi...
Zana za vita za Marekani zawasili Israel
Ndege ya kwanza iliyobeba zana za kijeshi za Marekani imewasili katika Kambi ya Nevatim kusini mwa Israel, kulingana na mamlaka za eneo hilo.
"Ushirikiano kati...
Maafisa wa polisi wakamatwa wakipokea hongo
Maafisa wanne wa polisi wa trafiki siku ya Jumanne walikamatwa wakipokea hongo katika barabara kuu ya Thika-Garissa.
Wanne hao Deborah Ngila Rosemary Nyokabi, Robert Kabiru...
Wachimba migodi wawili wafariki Kakamega
Wachimba migodi wawili wa umri wa makamo wameripotiwa kufariki baada ya kuta za mgodi walimokuwa wakichimba kuporomika na kuwaangukia katika eneo la Ikolomani, kaunti...