Home Authors Posts by Tom Mathinji

Tom Mathinji

Tom Mathinji
1454 POSTS 0 COMMENTS

Misri na Marekani zakubali kuruhusu msaada kuingia Gaza

0
Rais Joe Biden wa Marekani na Abdel Fattah al-Sisi wa Misri wamekubali kufungua kivuko cha Rafah ili kuruhusu hadi lori 20 za misaada kuingia...

Gavana Sakaja kuwalipa fidia wachuuzi

0
Gavana wa kaunti ya Nairobi Johnson Sakaja amelaani vikali hatua ya askari wa baraza la jiji la Nairobi ya kuharibu na kutwaa toroli za...

EACC yatwaa ardhi iliyonyakuliwa kaunti ya Kisumu

0
Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi, EACC imefutilia mbali ugawaji haramu wa kipande cha ardhi cha ekari 18 ambacho kilikuwa kimenyakuliwa na mtu...

Kenya yawahamisha raia wake kutoka Israel

0
Kenya imeanzisha shughuli ya kuwahamisha raia wake kutoka Israel kufuatia kuzuka kwa vita kati ya taifa hilo la Mashariki ya Kati na kundi la...

Ruto asisitiza umuhimu wa kuwekeza katika uchumi wa kidijitali

0
Ushirikiano wa kidijitali kati ya China na nchi zinazohusika katika Mpango wa Ukanda Mmoja, Njia Moja (BRI), ni muhimu kwa maendeleo ya miundombinu. Rais William...

Rais Museveni alaani mauaji ya watalii wawili

0
Saa chache baada ya watalii wawili kuuawa na wanamgambo wa Allied Defence Forces ADF, Rais wa Uganda Yoweri Museveni amelaani mauaji ya wawili hao,...

Wauguzi: Wahamasishaji wa afya ya jamii hawana uwezo wa kitaalam

0
Chama cha kitaifa cha wauguzi hapa nchini (NNAK), kimeibua wasiwai kuhusu uwezo wa kitaalam wa wahamasishaji wa afya ya jamii, katika kutoa huduma za...

NTSA: Nambari mpya za usajili wa magari ziko tayari

0
Halmashauri ya uchukuzi na usalama barabarani  (NTSA), imetoa wito kwa wenye magari ambao wamepokea ujumbe mfupi, kuchukua nambari za usajili wa magari. Hatua hiyo inajiri...

Serikali yachapisha majina ya washukiwa wa ugaidi Lamu

0
Serikali ya Kenya imechapisha majina na picha za washukiwa wa ugaidi, wanaoaminika kuhusika katika mashambulizi ya hivi punde katika kaunti ya Lamu. Idara ya upelelezi...

Watalii wawili wauawa nchini Uganda

Polisi nchini Uganda wamesema wanawasaka wanaoshukiwa kuwa waasi wa Allied Democratic Forces, ADF baada ya kuwapiga risasi na kuwaua raia wawili wa kigeni na...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS