Tom Mathinji
Wauguzi: Wahamasishaji wa afya ya jamii hawana uwezo wa kitaalam
Chama cha kitaifa cha wauguzi hapa nchini (NNAK), kimeibua wasiwai kuhusu uwezo wa kitaalam wa wahamasishaji wa afya ya jamii, katika kutoa huduma za...
NTSA: Nambari mpya za usajili wa magari ziko tayari
Halmashauri ya uchukuzi na usalama barabarani (NTSA), imetoa wito kwa wenye magari ambao wamepokea ujumbe mfupi, kuchukua nambari za usajili wa magari.
Hatua hiyo inajiri...
Serikali yachapisha majina ya washukiwa wa ugaidi Lamu
Serikali ya Kenya imechapisha majina na picha za washukiwa wa ugaidi, wanaoaminika kuhusika katika mashambulizi ya hivi punde katika kaunti ya Lamu.
Idara ya upelelezi...
Watalii wawili wauawa nchini Uganda
Polisi nchini Uganda wamesema wanawasaka wanaoshukiwa kuwa waasi wa Allied Democratic Forces, ADF baada ya kuwapiga risasi na kuwaua raia wawili wa kigeni na...
Mudavadi akabidhiwa rasmi Wizara ya Mambo ya Nje
Musalia Mudavadi amekabidhiwa rasmi Wizara ya Mambo ya Nje.
Mudavadi ambaye pia ni Waziri mwenye Mamlaka Makuu alikabidhiwa wizara hiyo na mtangulizi wake Dkt....
Shehena ya kwanza ya mbolea ya NPK yawasili nchini
Halmashauri ya Ustawishaji Majani Chai Nchini, KTDA, imeagiza tani 92,737 za mbolea itakayouzwa kwa wakulima wa mashamba madogo ya majani chai.
Mbolea hiyo aina ya...
Jeshi la Uganda lashambuliwa nchini DRC
Vikosi vya ulinzi vya Uganda siku ya Jumatatu, vilishambuliwa na wapiganaji wasiojulika, katika Jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo.
Vikosi hivyo ambavyo ni sehemu ya vikosi...
Katibu Mang’eni anusurika kwenye ajali Busia
Katibu katika Idara ya Biashara Ndogo na za Kati (MSMES) Susan Mang’eni, jana Jumatatu alihusika katika ajali ya barabarani katika barabara kuu ya Nambale-Korinda.
Ajali...
Mswada wa kumtimua Gavana Mwangaza kuwasilishwa Jumanne
Kwa mara nyingine, Gavana wa kaunti ya Meru Kawira Mwangaza yupo mashakani.
Awali, alinusurika makali ya Wawakilishi Wadi kumtimua afisini baada ya bunge la...
Rais Biden kuzuru Israel Jumatano
Rais wa Marekani Joe Biden atazuru Israel siku ya Jumatano, waziri wa mambo ya nje wa Marekani Antony Blinken ametangaza kutoka Israel.
Tangazo kwamba Rais...