Tom Mathinji
Owalo aongoza upanzi wa miche 10,000 Maseno
Naibu Mkuu wa Utumishi wa Umma Eliud Owalo leo Jumamosi alishirikiana na wanafunzi na walimu na maafisa wengine wa shule ya Maseno katika upanzi...
Wauguzi wasitisha mgomo kaunti ya Nyamira
Chama cha kitaifa cha wauguzi (KNUN), kimesitisha mgomo wa wanachama wake katika kaunti ya Migori, baada ya kutia saini makubaliano ya kurejea kazini.
Wauguzi hao...
Kaunti ya Embu kuanzisha mpango wa lishe shuleni
Serikali ya kaunti ya Embu, kuanzia Januari mwaka ujao, itaanzisha mradi wa lishe shuleni kwa wanafunzi wa chekechea,ECDE.
Kulingana na Gavana wa kaunti hiyo Cecily...
Machifu kuongoza juhudi za kukabiliana na Mabadiliko ya Tabia Nchi
Serikali imetenga siku ya kutekelezwa kwa hatua za kukabiliana na Mabadiliko ya Tabia Nchi pamoja na upanzi wa miche bilioni 15 kufika mwaka 2032.
Katibu...
Waziri wa zamani Oloo Aringo ameaga dunia
Waziri wa zamani Peter Oloo Aringo ameaga dunia.
Aringo ambaye pia alikuwa mbunge wa Alego Usonga alifariki Novemba 1, 2024 akipokea matibabu katika hospitali moja...
Mswada wa marekebisho ya katiba wa mwaka 2024 wakataliwa mbali
Kamati ya Seneti inayohusika na maswala kisheria na haki za binadamu, imekataa mswada unaotaka kuongeza muda wa kuhudumu kwa kwa viongozi waliochaguliwa humu nchini.
Mswada...
Ogamba: Sikukuu ya taifa haitaathiri mitihani ya KCSE
Wizara ya Elimu imetoa hakikisho kwamba mitihani ya kidato cha nne (KCSE) iliyoratibiwa kufanywa siku ya Ijumaa, haitaathiriwa licha ya siku hiyo kutangazwa sikukuu...
Musalia Mudavadi ateuliwa kaimu Waziri wa Usalama wa Taifa
Waziri mwenye Mamlaka Makuu Musalia Mudavadi, ameteuliwa kuwa kaimu Waziri wa Usalama wa Taifa, wadhifa ulioshikiliwa na Prof. Kithure Kindiki ambaye sasa ni Naibu...
Ijumaa yatangazwa kuwa sikukuu
Serikali imetangaza kesho Ijumaa, Novemba 1, 2024 kuwa sikukuu ya taifa.
Kupitia kwa gazeti rasmi la serikali, Waziri mwenye Mamlaka Makuu Musalia Mudavadi, alisema hatua...
Prof. Kindiki kuapishwa Ijumaa kuwa Naibu Rais
Prof. Kithure Kindiki, ataapishwa kesho Ijumaa kuwa Naibu Rais wa taifa hili, baada ya Rigathi Gachagua kuondolewa mamlakani na bunge la taif na lile...