Tom Mathinji
Wakenya kutoa maoni kuhusu hoja ya kumbandua Gachagua
Bunge la taifa limetoa ratiba ya kupokea maoni ya umma kuhusu hoja iliyowasilishwa katika bunge hilo, ya kumbandua Naibu Rais Rigathi Gachagua.
Kulingana na ilani...
Duale: Tutatekeleza sheria zote za kuhifadhi mazingira
Waziri wa Mazingira, Mabadiliko ya Tabia Nchi na Misitu Aden Duale amekariri kujitolea kwa serikali kutekeleza kikamilifu sheria zote za mazingira, ikiwa ni pamoja...
Wakenya kumiliki nyumba za gharama nafuu kufikia mwishoni mwa mwaka huu
Wakenya wataanza kumiliki nyumba zilizojengwa chini ya mpango wa gharama nafuu kufikia mwishoni mwa mwaka huu, hayo ni kulingana na msemaji wa serikali Isaac...
Wakenya nchini Lebanon wahimizwa kujisajili ili wahamishwe
Serikali imetoa wito kwa raia wa Kenya walioko nchini Lebanon kujisajili ili wahamishwe, huku Israel ikiendelea kushambulia taifa hilo.
Hadi kufikia sasa Umoja wa Mataifa...
Iran yarusha makombora nchini Israel
Katika kile kinachoonekana kuwa hatua ya kulipiza kisasi mauaji ya kiongozi wa Hamas Ismail Haniyeh, na vile vile mauaji ya kiongozi wa Hezbollah Hassan...
Tume ya TSC yatangaza nafasi 46,000 za ajira
Tume ya kuwaajiri walimu nchini (TSC) imetangaza nafasi 46,000 za ajira, kukabiliana na uhaba wa walimu hapa nchini.
Kulingana na tume hiyo kupitia kwa arifa,...
Kenya, Uganda na Tanzania kuimarisha usalama Ziwa Victoria
Serikali za Kenya, Uganda, na Tanzania, zimeshirikiana kushughulikia changamoto katika Ziwa Victoria ili kuimarisha usalama wa mpakani na ushirikiano baina ya nchi hizo tatu.
Katibu...
Serikali kuboresha ushirikiano wake na nchi za kigeni
Serikali inalenga kupunguza gharama ya kutuma fedha kutoka nchi za kigeni hadi humu nchini, ili kufanikisha mpango huo.
Waziri mwenye Mamlaka Makuu Musalia Mudavadi, amesema...
Mbadi: Serikali italipa madeni yote
Waziri wa fedha John Mbadi, ametoa ahadi kwamba serikali italipa madeni yote inayodaiwa.
Waziri huyo alidokeza kuwa madeni hayo ambayo ni jumla ya shilingi bilioni...
Vijana watatu wakamatwa kwa kuhusika na utekaji nyara bandia
Maafisa wa upelelezi wa makosa ya jinai DCI katika eneo la Imenti Kaskazini, Kaunti ya Meru, wamewakamata vijana watatu waliohusika na kisa bandia cha...