Home Authors Posts by Tom Mathinji

Tom Mathinji

Tom Mathinji
1548 POSTS 0 COMMENTS

Murkomen: Wizara wa michezo itaboresha ukuzaji wa talanta

0
Waziri wa michezo Kipchumba Murkomen, amesema wizara yake itaunga mkono Chama cha Riadha nchini AK, kuandaa kambi za mafunzo kwa vijana wakati huu ambapo...

Rais Ruto ampongeza Donald Trump

0
Rais William Ruto amempongeza Donald Trump kufuatia kuchaguliwa kwake kuwa Rais wa 47 wa Marekani. Katika ujumbe wa pongezi kwenye mtandao wa X, Rais Ruto...

Pande husika Sudan Kusini zakubali kurejelea mazungumzo ya upatanishi

0
Pande husika kwenye mchakato wa amani nchini Sudan kusini zimekubaliana kurejelea mashauriano ya upatanishi jijini Nairobi ili kushughulikia maswala yaliyosalia. Mkataba huo uliafikiwa wakati...

Mvurya: Kenya inabuni mifumo thabiti ya utoshelevu wa chakula

0
Waziri wa uwekezaji, biashara na viwanda Salim Mvurya, leo Jumatano aliongoza ujumbe wa ngazi za juu katika kongamano la 'Ulimwengu Bila Njaa 2024', Jijini...

Bunge la taifa lapongeza uamuzi wa Mahakama ya Upeo kuhusu ushiriki...

0
Bunge la taifa limepongeza uamuzi uliotolewa na Mahakama ya Upeo uliofafanua ushiriki wa umma katika mchakato wa kisheria. Uamuzi huo uliotolewa Oktoba 29,2024, ulidokeza kuwa...

Hashim Dagane ahusishwa na kisa kingine cha mauaji

0
Maafisa wa upelelezi wa makosa ya jinai DCI, wamemhusisha mshukiwa wa mauaji ya watu watatu eneo la Eastleigh Hashim Dagane,na kisa kingine cha mauaji. Maafisa...

Rais Ruto awasili Sudan Kusini kwa mkutano wa amani

0
Rais William Ruto, amewasili Jijini Juba, Sudan Kusini, kushiriki mazungumzo na mwenyeji wake Rais Salva Kiir Mayardit, kuhusu mchakato wa amani almaarufu Tumaini. Mkutano huo...

Donald Trump ashinda uchaguzi wa urais nchini Marekani 2024

0
Donald Trump ameibuka mshindi katika uchaguzi wa Marekani, baada ya kumshinda mpinzani wake kutoka chama cha Democrats Kamala Harris. Mgombea huyo wa Republican alipata ushindi...

Rais Ruto avikabidhi vyuo vikuu hati za utenda kazi

0
Rais William Ruto leo Jumanne, amekabidhi hati za kuhudumu kwa chuo kikuu cha Islamic humu nchini  na chuo kikuu cha kitaifa cha ujasusi na...

Nick Mwendwa azuiwa kuwania wadhifa wa naibu Rais wa FKF

0
Waziri wa michezo Kipchumba Murkone ameliambia bunge la taifa kwamba Rais anayeondoka wa shiriko la soka nchini FKF, hajastahiki kuwa naibu wa Dorris Petra...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS