Home Authors Posts by Tom Mathinji

Tom Mathinji

Tom Mathinji
1143 POSTS 0 COMMENTS

Tifa: Wakenya wengi wanawaunga mkono vijana wa Gen Z

0
Wakenya wengi wanawaunga mkono vijana wa Gen Z, wanaoishinikiza serikali kufanya mabadiliko nchini. Hii ni kulingana na kura ya maoni iliyotekelezwa na kampuni ya utafiti...

Washukiwa watano wakamatwa kwa wizi wa shilingi Milioni 450

0
Tume ya kukabiliana na ufisadi hapa nchini EACC, imewakamata washukiwa watano kati ya 13, wanaohusishwa na wizi wa shilingi Milioni 450 katika idara ya...

Mahakama yabatilisha marufuku dhidi ya maandamano

0
Agizo la kaimu Inspekta Jenerali wa polisi Douglas Kanja la kupiga marufuku maandamano dhidi ya serikali, limebatilishwa na Mahakama Kuu. Kupitia kwa taarifa tarehe Julai...

Musalia Mudavadi ateuliwa kukaimu nyadhifa zote za mawaziri

0
Waziri mwenye Mamlaka Makuu Musalia Mudavadi ameteuliwa kukaimu nyadhifa zote za mawaziri. Nyadhifa zote 21 ziliachwa wazi baada ya Rais William Ruto kuvunja Baraza lake...

Rais Ruto ampongeza Rais Paul Kagame wa Rwanda

0
Rais William Ruto amempongeza Rais wa Rwanda Paul Kagame, kufuatia ushindi wake katika uchaguzi wa Urais ulioandaliwa Jumatatu. “Kwa niaba ya raia na serikali ya...

Marion Serenge atajwa mwanamichezo bora wa mwezi Juni

0
Nyota wa soka Marion Serenge ametuzwa kwa kuwa mwanamichezo bora wa LG- SJAJ wa mwezi Juni, baada ya kuisaidia timu ya taifa ya wachezaji...

Gareth Southgate ajiuzulu baada ya kukamilika kwa Euro 2024

0
Kocha mkuu wa timu ya soka ya Uingereza Gareth Southgate, amejiuzulu siku chache baada ya timu yake kushindwa na Uhispania kwenye mechi ya fainali...

Jaji David Majanja kuzikwa leo Jumatano

0
Jaji wa Mahakama kuu David Majanja, atazikwa leo Jumatano kuambatana na wasia wake. Katika wasia huo, Jaji Majanja alisema mwili wake uchomwe moto baada ya...

Kenya yakashifu shambulizi la risasi dhidi ya Donald Trump

0
Rais William Ruto amekashifu jaribio la mauaji dhidi ya Rais wa zamani wa Marekani  Donald Trump. Kupitia mtandao wa X, kiongozi huyo wa taifa alitaja...

Chama cha wahariri wa habari chalaani mashambulizi dhidi ya wanahabari

0
Chama cha wahariri wa habari nchini KEG, kimekashifu mashambulizi dhidi ya wanahabari wakati wa maandamano ya kupinga serikali. Kupitia kwa taarifa iliyotolewa na rais wa...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS