Home Authors Posts by Tom Mathinji

Tom Mathinji

Tom Mathinji
1524 POSTS 0 COMMENTS

Spika Wetang’ula amuomboleza mbunge wa zamani Oloo Aringo

0
Spika wa bunge la taifa Moses Masika Wetang'ula, leo Jumamosi amewaongoza wabunge kumuomboleza waziri wa zamani na aliyekuwa mbunge wa Alego Usonga Peter Castro...

Mauritius yafunga Mitandao ya Kijamii

0
Mauritius imefunga mitandao yote ya kijamii nchini humo, hadi Novemba 11,2024 wakati Uchaguzi Mkuu utakapokamilika. Hatua hiyo ya siku ya Ijumaa ilijiri huku kukiwa na...

Owalo aongoza upanzi wa miche 10,000 Maseno

0
Naibu Mkuu wa Utumishi wa Umma Eliud Owalo leo Jumamosi alishirikiana na wanafunzi na walimu na maafisa wengine wa shule ya Maseno katika upanzi...

Wauguzi wasitisha mgomo kaunti ya Nyamira

0
Chama cha kitaifa cha wauguzi (KNUN), kimesitisha mgomo wa wanachama wake katika kaunti ya Migori, baada ya kutia saini makubaliano ya kurejea kazini. Wauguzi hao...

Kaunti ya Embu kuanzisha mpango wa lishe shuleni

0
Serikali ya kaunti ya Embu, kuanzia Januari mwaka ujao, itaanzisha mradi wa lishe shuleni kwa wanafunzi wa chekechea,ECDE. Kulingana na Gavana wa kaunti hiyo Cecily...

Machifu kuongoza juhudi za kukabiliana na Mabadiliko ya Tabia Nchi

0
Serikali imetenga siku ya kutekelezwa kwa hatua za kukabiliana na Mabadiliko ya Tabia Nchi pamoja na upanzi wa miche bilioni 15 kufika mwaka 2032. Katibu...

Waziri wa zamani Oloo Aringo ameaga dunia

0
Waziri wa zamani Peter Oloo Aringo ameaga dunia. Aringo ambaye pia alikuwa mbunge wa Alego Usonga alifariki Novemba 1, 2024 akipokea matibabu katika hospitali moja...

Mswada wa marekebisho ya katiba wa mwaka 2024 wakataliwa mbali

0
Kamati ya Seneti inayohusika na maswala kisheria na haki za binadamu, imekataa mswada unaotaka kuongeza muda wa kuhudumu kwa  kwa viongozi waliochaguliwa humu nchini. Mswada...

Ogamba: Sikukuu ya taifa haitaathiri mitihani ya KCSE

0
Wizara ya Elimu imetoa hakikisho kwamba mitihani ya kidato cha nne (KCSE) iliyoratibiwa kufanywa siku ya Ijumaa, haitaathiriwa licha ya siku hiyo kutangazwa sikukuu...

Musalia Mudavadi ateuliwa kaimu Waziri wa Usalama wa Taifa

0
Waziri mwenye Mamlaka Makuu Musalia Mudavadi, ameteuliwa kuwa kaimu Waziri wa Usalama wa Taifa, wadhifa ulioshikiliwa na Prof. Kithure Kindiki ambaye sasa ni Naibu...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS