Tom Mathinji
Rais Ruto avikabidhi vyuo vikuu hati za utenda kazi
Rais William Ruto leo Jumanne, amekabidhi hati za kuhudumu kwa chuo kikuu cha Islamic humu nchini na chuo kikuu cha kitaifa cha ujasusi na...
Nick Mwendwa azuiwa kuwania wadhifa wa naibu Rais wa FKF
Waziri wa michezo Kipchumba Murkone ameliambia bunge la taifa kwamba Rais anayeondoka wa shiriko la soka nchini FKF, hajastahiki kuwa naibu wa Dorris Petra...
Kampuni za Slovenia zakaribishwa kuwekeza nchini Kenya
Waziri mwenye Mamlaka Makuu Musalia Mudavadi, ametoa wito kwa kampuni za Slovenia kutumia fursa zilizopo hapa nchini za utengenezaji bidhaa katika maeneo maalum ya...
Mvurya: Serikali inabuni mazingira bora ya kufanya biashara
Serikali imesema imejitolea kubuni mazingira mwafaka ya kufanya biashara, kuhakikisha sekta ya utengenezaji bidhaa inafaulu.
Waziri wa uwekezaji, biashara na viwanda Salim Mvurya, alisema wizarqa...
Mvua za vuli kuanza katika maeneo kadhaa hapa nchini
Idara ya utabiri wa hali ya hewa imesema maeneo ya humu nchini ambayo yamechelewa kupokea mvua yataanza kupokea mvua wiki hii.
Kwenye utabiri wake...
EACC kuwahoji wakurugenzi wa serikali ya Busia kwa madai ya ukabila
Tume ya maadili na kupambana na ufisadi hapa nchini EACC, imeanza kuwahoji wakurugenzi 39 na manaibu wao wa idara mbali mbali katika serikali ya...
Mshukiwa mwingine akamatwa kuhusiana na mauaji ya mfanyakazi wa Wells Fargo
Maafisa wa upeleleze wa makosa ya jinai DCI, wamemtia nguvuni mshukiwa mwingine kwenye mauaji ya aliyekuwa mfanyakazi wa kampuni ya Wells Fargo Willis Ayieko...
Nigeria yatakiwa kuwaondolea mashtaka watoto waliotiwa nguvuni
Shinikizo zinazidi kutolewa kwa serikali ya Nigeria, kuwaondolea mashtaka watoto wanaozuiliwa kwa kushiriki maandamano kulalamikia gharama ya juu ya maisha.
Jumla ya watu 76, wakiwemo...
Wafanyakazi 20,000 zaidi wamesajiliwa kwa SHA
Taasisi za afya 4,760 za serikali, 2,498 za kibinafsi, 1,442 za kidini, 17 za jamii na zingine 86 kote nchini zimesajiliwa katika halmashauri ya...
Kipsang’: Usalama umeimarishwa katika kipindi cha mitihani ya KCSE
Katibu katika idara ya elimu ya msingi Dkt. Belio Kipsang', amewahakikishia watahiniwa kote nchini usalama wao, wanapofanya mtihani wa kidato cha nne KCSE.
Kulingana na...