Home Authors Posts by Tom Mathinji

Tom Mathinji

Tom Mathinji
1428 POSTS 0 COMMENTS

Idadi jumla ya visa vya Mpox hapa nchini yafika 12

0
Visa viwili zaidi vya ugonjwa wa Mpox, vimethibitishwa hapa nchni katika muda wa saa 24 zilizopita, huku idadi jumla ya visa hivyo ikifika 12. Kupitia...

Mudavadi: Wanawake ni nguzo muhimu katika juhudi za kuleta amani

0
Serikali imepongeza juhudi zinazotekelezwa na wanawake katika kuzuia mizozo kwa ustawi wa taifa hili. Waziri mwenye Mamlaka Makuu Musalia Mudavadi, amesema ipo haja ya kusikiza...

Hoja ya kumbandua Gachagua: Vikao vya kukusanya maoni kuendelea kwa siku...

0
Bunge la kitaifa limeongeza siku moja zaidi kwa vikao vinavyoendelea vya ushirikishwaji umma kuhusu kung’atuliwa mamlakani kwa naibu rais Rigathi Gachagua. Kupitia kwa taarifa...

Mtoto Pendo: Mahakama yatoa amri ya kukamatwa kwa afisa wa polisi

0
Mahakama Kuu imetoa agizo la kukamatwa kwa afisa wa cheo cha juu wa polisi, Mohammed Baa, aliyehusishwa na kifo cha mtoto Pendo mwaka 2017. Agizo...

Shughuli za masomo zasitishwa katika Chuo Kikuu cha Moi

0
Usimamizi wa chuo kikuu cha Moi, umetangaza kufungwa mara moja kwa chuo hicho, kutokana na mgomo unaoendelea wa wafanyakazi na ghasia za wanafunzi. Kupitia taarifa...

Gavana Nassir ahojiwa na polisi kuhusu kudhulumiwa kwa mwanablogu

0
Gavana wa Mombasa Abdulswamad Nassir, leo Alhamisi aliandikisha taarifa kwa afisi za maafisa wa idara ya upelelezi wa makosa ya jinai, kuhusu kudhulumiwa kimapenzi...

Kisa kipya cha Mpox chanakiliwa hapa nchini

0
Taifa hili limenakili kisa kipya cha ugonjwa wa Mpox katika muda wa saa 24 zilizopita na kufikisha idadi jumla ya visa vya ugonjwa huo...

Wakenya kutoa maoni kuhusu hoja ya kumbandua Gachagua

0
Bunge la taifa limetoa ratiba ya kupokea maoni ya umma kuhusu hoja iliyowasilishwa katika bunge hilo, ya kumbandua Naibu Rais Rigathi Gachagua. Kulingana na ilani...

Duale: Tutatekeleza sheria zote za kuhifadhi mazingira

0
Waziri wa Mazingira, Mabadiliko ya Tabia Nchi na Misitu Aden Duale amekariri kujitolea kwa serikali kutekeleza kikamilifu sheria zote za mazingira, ikiwa ni pamoja...

Wakenya kumiliki nyumba za gharama nafuu kufikia mwishoni mwa mwaka huu

0
Wakenya wataanza kumiliki nyumba zilizojengwa chini ya mpango wa gharama nafuu kufikia mwishoni mwa mwaka huu, hayo ni kulingana na msemaji wa serikali Isaac...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS