Tom Mathinji
Mtoto Pendo: Mahakama yatoa amri ya kukamatwa kwa afisa wa polisi
Mahakama Kuu imetoa agizo la kukamatwa kwa afisa wa cheo cha juu wa polisi, Mohammed Baa, aliyehusishwa na kifo cha mtoto Pendo mwaka 2017.
Agizo...
Shughuli za masomo zasitishwa katika Chuo Kikuu cha Moi
Usimamizi wa chuo kikuu cha Moi, umetangaza kufungwa mara moja kwa chuo hicho, kutokana na mgomo unaoendelea wa wafanyakazi na ghasia za wanafunzi.
Kupitia taarifa...
Gavana Nassir ahojiwa na polisi kuhusu kudhulumiwa kwa mwanablogu
Gavana wa Mombasa Abdulswamad Nassir, leo Alhamisi aliandikisha taarifa kwa afisi za maafisa wa idara ya upelelezi wa makosa ya jinai, kuhusu kudhulumiwa kimapenzi...
Kisa kipya cha Mpox chanakiliwa hapa nchini
Taifa hili limenakili kisa kipya cha ugonjwa wa Mpox katika muda wa saa 24 zilizopita na kufikisha idadi jumla ya visa vya ugonjwa huo...
Wakenya kutoa maoni kuhusu hoja ya kumbandua Gachagua
Bunge la taifa limetoa ratiba ya kupokea maoni ya umma kuhusu hoja iliyowasilishwa katika bunge hilo, ya kumbandua Naibu Rais Rigathi Gachagua.
Kulingana na ilani...
Duale: Tutatekeleza sheria zote za kuhifadhi mazingira
Waziri wa Mazingira, Mabadiliko ya Tabia Nchi na Misitu Aden Duale amekariri kujitolea kwa serikali kutekeleza kikamilifu sheria zote za mazingira, ikiwa ni pamoja...
Wakenya kumiliki nyumba za gharama nafuu kufikia mwishoni mwa mwaka huu
Wakenya wataanza kumiliki nyumba zilizojengwa chini ya mpango wa gharama nafuu kufikia mwishoni mwa mwaka huu, hayo ni kulingana na msemaji wa serikali Isaac...
Wakenya nchini Lebanon wahimizwa kujisajili ili wahamishwe
Serikali imetoa wito kwa raia wa Kenya walioko nchini Lebanon kujisajili ili wahamishwe, huku Israel ikiendelea kushambulia taifa hilo.
Hadi kufikia sasa Umoja wa Mataifa...
Iran yarusha makombora nchini Israel
Katika kile kinachoonekana kuwa hatua ya kulipiza kisasi mauaji ya kiongozi wa Hamas Ismail Haniyeh, na vile vile mauaji ya kiongozi wa Hezbollah Hassan...
Tume ya TSC yatangaza nafasi 46,000 za ajira
Tume ya kuwaajiri walimu nchini (TSC) imetangaza nafasi 46,000 za ajira, kukabiliana na uhaba wa walimu hapa nchini.
Kulingana na tume hiyo kupitia kwa arifa,...