Home Authors Posts by Tom Mathinji

Tom Mathinji

Tom Mathinji
1448 POSTS 0 COMMENTS

Wabunge wanawake waapa kuunga mkono hoja ya kumbandua Gachagua

0
Zaidi ya Wawakilishi kumi wa Wanawake wamesema watapiga kura ya kuunga mkono kuondolewa mamlakani kwa Naibu Rais Rigathi Gachagua siku ya Jumanne,katika bunge la...

Cissy Houston ambaye ni mamake Whitney Houston amefariki

0
Cissy Houston, mwimbaji mashuhuri wa nyimbo za injili na mamake Whitney Houston, amefariki dunia Jumatatu asubuhi akiwa na umri wa miaka 91, familia yake...

Mvuvi auawa na kundi hasimu Ziwa Victoria

0
Mvuvi mwenye umri wa miaka 23 Jacob Odira, ameuawa kufuatia mzozo wa eneo la uvuvi katika Ziwa Victoria. Odira alifariki karibu na ufuo wa Lela...

Maafisa wa usalama wapelekwa kudumisha amani Tana River

0
Inspekta Jenerali wa Polisi Douglas Kanja amesema  maafisa wa asasi za usalama wamepelekwa katika kaunti ya Tana River kudumisha amani, siku chache baada ya...

Rais Ruto: Wakenya zaidi watapata ajira nchini Qatar

0
Rais William Ruto amesema kuwa Wakenya zaidi watapat fursa ya kufanya kazi nchini Qatar, punde tu mkataba wa maelewano kati ya nchi hizo mbili...

Gachagua akanusha madai ya kuwachochea wafanyabiashara Nairobi

0
Naibu Rais Rigathi Gachagua amejitetea dhidi ya madai kwamba aliingilia uongozi wa serikali ya kaunti ya Nairobi, kwa kuwachochea wafanyabiashara dhidi ya maagizo yaliyotolewa...

Kosa langu kuu ni kuwa msema ukweli, asema Gachagua

0
Naibu Rais Rigathi Gachagua, amedokeza kuwa masaibu yanayomkumba ya kutaka aondolewe mamlakani, yanatokana na hulka yake ya kuwa msema ukweli. Akihutubia taifa Jumatatu usiku katika...

Naibu Rais Rigathi Gachagua kuhutubia taifa Jumatatu usiku

0
Naibu Rais Rigathi Gachagua, anatarajiwa kuhutubia taifa leo Jumatatu saa moja usiku. Hotuba hiyo ya Gachagua itajiri saa chache baada ya Mahakama Kuu kukataa kusimamisha...

Mahakama Kuu yakataa kusimamisha mchakato wa kumtimua Gachagua

0
Mahakama Kuu hapa nchini imekataa kwa mara ya pili kutoa maagizo ya kusimamisha mchakato unaotekelezwa na bunge la taifa, wa kumtimua Naibu Rais Rigathi...

Idadi ya maafa kutokana na uja uzito yaongezeka Migori

0
Takriban wanawake 50 hufariki kila mwaka kutokana na changamoto za uja uzito katika kaunti ya Migori, hayo ni kulingana na mtaalam wa uzazi Dkt...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS