Home Authors Posts by Tom Mathinji

Tom Mathinji

Tom Mathinji
1459 POSTS 0 COMMENTS

Rais Biden na Netanyahu wazungumza kwa njia ya simu

0
Rais wa Marekani Joe Biden amefanya mazungumzo ya simu yaliyotarajiwa na waziri mkuu wa Israel, ambayo yanaaminika kuwa mazungumzo yao ya kwanza baada ya...

Duale: Miti milioni 481 imepandwa hapa nchini mwaka huu

0
Waziri wa mazingira Aden Duale, amesema wakenya tayari wamepanda miche Milioni 481 ya miti tangu mwezi Januari mwaka huu, kama sehemu ya juhudi za...

Kenya yaungana na ulimwengu kuadhimisha siku ya Afya ya Akili duniani

0
Kenya inaungana na mataifa mengine duniani leo Alhamisi, kuadhimisha siku ya afya ya akili ulimwenguni. Maadhimisho hayo ya kila mwaka ya Oktoba 10, yalianzishwa na...

Kenya yachaguliwa katika Baraza la Umoja wa Mataifa la Haki za...

0
Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limeichagua Kenya kuwa mwanachama wa Baraza la Umoja wa Mataifa la haki za kibinadamu, kuanzia Januari 1,2025. Kenya ilichaguliwa...

Siku ya Moi Dei ilivyobadilika na kuwa siku ya Mazingira

0
Siku kuu ya Moi,almaarufu Moi Dei, iliadhimishwa kwa kipindi cha takriban miongo miwili. Rais Daniel Arap Moi alichukua hatamu za uongozi wa taifa hili...

Siku ya Mazingira yaadhimishwa mara ya kwanza hapa nchini

0
Waziri wa mazingira Aden Duale, leo Alhamisi atawaongoza wakenya kuadhimisha siku kuu ya Mazingira katika bustani ya Arboretum Jijini Nairobi. Waziri huyo ametoa wito kwa...

Vikosi vya usalama vyarejesha utulivu kaunti ya Tana River

0
Vitengo vya usalama kanda ya Pwani vimeimarisha juhudi za kurejesha hali ya utulivu katika kaunti ndogo za Bangale na Tana Kaskazini, kaunti ya Tana...

Seneti kusikiliza mashtaka ya kumbandua Naibu Rais Rigathi Gachagua

0
Spika wa bunge la Senetei Amason Kingi ameitisha kikao cha bunge hilo leo Jumatano asubuhi, kusikiliza mashtaka ya kumbandua madarakani Naibu Rais Rigathi Gachagua. Kupitia...

Barasa: Huduma za afya zinatolewa chini ya mpango wa SHA

0
Waziri wa afya  Dkt. Deborah Mlongo Baraza amewahimiza wakenya kuendelea kutembelea vituo vya afya, akihakikishia umma kwamba huduma za afya sasa zinatolewa chini ya...

Serikali ya Kakamega kushirikiana na USAID kwa miradi ya Maendeleo

0
Serikali ya kaunti ya Kakamega, imesema itaimarisha ushirikiano wake na shirika la kimataifa la misaada la Marekani USAID, kutekeleza miradi ya maendeleo katika eneo...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS